habari wakuu...nauza ream za double A A4,80 gsm....nauza shs 35,000......ninazo za kutosha hata ukitaka carton 1600 utapata.....carton inakaa ream 5..... kwa anayehitaji anipm order yake..nipo dar...kuanzia carton 50 kwenda juu kwa wateja wa dar watafikishiwa hadi walipo...karibuni sana
Ofisi zinapangishwa mwenge moja ina vyumba vitatu (tsh 300,000 kwa mwezi), ya pili ina chumba kimoja ambacho ni kama vyumba viwili (250,000 kwa mwezi)...call 0756 090222.....SITAKI DALALI
Wadau poleni na shughuli, nilikua naulizia iwapo kuna mdau yoyote anayefanya biasharaya kuuza ream kwa bei ya jumla anayechukulia china, shida kubwa nilionayo ni brands zipi za kutoka china zinazonunulika hapa bongo na kama naweza kupata contacts ya hayo makampuni yanayozalisha ream china...
Habari zenu wadau ,poleni na majukumu ya kila siku.nataka kununua range rover sport 2.7 tdv6 2006 model,ila nimesikia watu baadhi wakisema yana matatizo,ingawa sijapata maelezo kwa undani.Sasa shida kubwa niliyokua nayo ni kupata ushauri kutoka kwa watu wanaomiliki range rover au wenye uzoefu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.