Recent content by loboto

  1. loboto

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nawakumbusha CHADEMA na SAU maamuzi ya nani awe Waziri Mkuu yako Bungeni

    ULIMSIKILIZA NASSAR ILE SIKU MH RAIS ALIVYOKUA ARUMERU ALIONGEA NINI? KITU ANACHOMAANISHA RAIS AKIONGEA KAULI KAMA HIYO JIBU NI LILE KWA KUWA WAPINZANI WANAAMBIANA HAKUNA KUOMBA WALA KUPITISHA BAJETI ZA MAENDELEO. SASA KAMA JIMBO LAKO LINA WAPINZANI KWA MAKUBALIANO HAYO UNADHANI MNAWEZA PATA...
  2. loboto

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nawakumbusha CHADEMA na SAU maamuzi ya nani awe Waziri Mkuu yako Bungeni

    TUAMBIE WEWE NI WAZIRI MKUU YUPI AMBAE ALIPEWA UWAZIRI AKIWA KAMA MBUNGE WA KUTEULIWA?
  3. loboto

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani hizi dakika za majeruhi naona Dkt. Magufuli anatuumiza sana na hoja ya korona, tujipange kumjibu

    LABDA MNGEKUA NA MGOMBEA MWINGINE LAKINI SI HUYU AMBAE KAMPENI MENEJA WAKE NI SHEIKH PONDA, KIGOGO NA AMSTARDAM. WAMEFAIL KABISA WATUACHE KWANZA WATANZANIA TUMCHAGUE #MAGUFULI
  4. loboto

    JamiiForums Tanzania GE2020 WanaJF tunaomuunga mkono Dkt. Magufuli sasa ni muda muafaka wa kumsaidia kupata ushindi wa kishindo

    HILO LIKO WAZI MIMI NATAMBUA WATU WENGI KUANZIA VIJANA NA RIKA ZOTE MIOYONI MWAO AMEJAA #MAGUFULI KUTOKANA NA KAZI KUBWA AMBAYO KAIFANYA KWA KULITAMBUA HILO WENGI SANA WAMEONA WAMUUNGE MKONO SI TUU KWA KUJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI WENGINE WAMEBAKI NA ITIKADI ZAO LAKINI KURA YAO YA NDIO...
  5. loboto

    JamiiForums Tanzania GE2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

    WALE WATU WA KUPINGA KILA KITU TUSEME NI WAKATI SAHIHI SASA WA KUPONGEZA YALE YOTE AMBBAYO WAPINZANI WALIKUA WAKIHUBIRI IWE BUNGENI AMA KATIKA MIKUTANO YA HADHARA, KAMA TULIVYOONA RAIS MAGUFULI ALIVYOWATUMIKIA WATANZANIA WALIOMCHAGUA. HII IMEFANYA WATANZANIA TULIOWENGI TUAMINI KILE ANACHOKIONGEA...
  6. loboto

    JamiiForums Tanzania GE2020 Robert Amsterdam na Sheikh Ponda ndio watakaomuangusha Lissu

    NAWAPENDA SANA WATANZANIA KWA UMOJA WAO LINAPOKUJA SWALA LA KITAIFA, TUNAAMINI WATAFANYA MAAMUZI SAHIHI YA KUHAKIKISHA #MAGUFULI ANASHINDA KWA KISHINDO KATIKA UCHAGUZI HUU WA TAREHE 28
  7. loboto

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Tundu Lissu alikuwa mwanasheria na mbunge, kwanini hakuwatetea Masheikh waliopo Gerezani?

    Kwa ufupi ukisikiliza hoja za wapinzani kama Mgombea wa CHADEMA na Viongozi wa ngazi za juu wa ACT, ni wabinafsi na watu wa kuigawanya Nchi kidini. Tumezoea kuona Viongozi wa Dini wakitoa kauli za kuliunganisha Taifa kama hii yako, hongera sana Sheikh. Ukitaka kufahamu ukweli wa maslahi...
  8. loboto

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani hizi dakika za majeruhi naona Dkt. Magufuli anatuumiza sana na hoja ya korona, tujipange kumjibu

    WENYE UELEWA WANATAMBUA FAIDA GANI WAMEIPATA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITANO KATIKA UONGOZI WA DR. JOHN POMBE MAGUFULI. KWA KAZI KUBWA AMBAYO KAIFANYA KUBORESHA KILA SEKTA NCHI NZIMA AMEVUKA LENGO NA WANAKIJIJI WANALIJUA HILO, MAANA WAMEFANYIWA MENGI AMBAYO YANA THAMANI ZAIDI YA HIZO MILIONI...
  9. loboto

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nawakumbusha CHADEMA na SAU maamuzi ya nani awe Waziri Mkuu yako Bungeni

    NDIO MAANA HATA WALE WANACHAMA WAO MIMI HUWAGA MUDA MWINGINE NAWAPUNGUZA KIDOGO. WANASHINDWA KUHOJI KILA KAULI AMBAZO WANAZITOA WAGOMBEA AU VIONGOZI WAO ZINAKANGANYA. WAKIFANYA HIVYO HAWATOKAA WAKAKUBALI KUWAUNGA MKONO HATA SIKU MOJA. KWANGU MAGUFULI NI NAMBA MOJA
  10. loboto

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani hizi dakika za majeruhi naona Dkt. Magufuli anatuumiza sana na hoja ya korona, tujipange kumjibu

    Tatizo kubwa la wapinzani wa nchi hii hawana hazina kubwa ya wanachama. Hivi kwa akili za kawaida unakua vipi na uhakika kwamba utadhinda, wakati robo tatu ya wapiga kura waliojiandikisha wote ni wanachama wa CCM. Huna majimbo ya kutosha ambay una uhakika wa kushinda katika Ubunge. Mgombea wenu...
  11. loboto

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani hizi dakika za majeruhi naona Dkt. Magufuli anatuumiza sana na hoja ya korona, tujipange kumjibu

    Kama kashindwa kuweka wazi kwa wanachama wake kuwa anatarajia kurudi tena ubelgiji kama mwananchi wa kawaida atawezaje kuwa serious na anachokisema? Alikua anafahamu kabisa kwamba hana nafasi ya kushinda huu uchaguzi lakini kawachangisha watu pesa kwenye mikutano. Watu walikua hawajui kama...
  12. loboto

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani hizi dakika za majeruhi naona Dkt. Magufuli anatuumiza sana na hoja ya korona, tujipange kumjibu

    Sasa kama wanawaabudu sana hao mabeberu watashindwaje kufungia watu ndani na akili yao kubwa wakishinda kutegemea wahisani
Back
Top Bottom