Suala la kwamba Mkapa alifanya mengi sana kuliko wenzake ni DEBATABLE. Je unajua yeye ndiye aliyeuza Mashirika yetu yote kwa bei ya kutupa. Mfano Benki yoye ya NBC kwanei ya Jengo la Makao Makuu. Mashirika mengine kama TRC, ATC akayaacha mpaka yakafa kisubiria kuuzwa.
Nyumba za Serikali...
1) Differing curricula by various Medical Schools
2) Differing competences by different graduates
3) The need to standardise the graduates to serve the people
Watu wengine hawana akili kabisa. Kama huyo Mkufunzi wa Madaktari aliyeandika mwanza.
Waziri aliunda Tume kuchunguza utaratibu wa utoaji na usahihishaji wa Mitihani ya Pre na Post Internship. Waziri HAKUSIMAMISHA shughuli za MCT.
Uchunguzi utaendelea na utangaji wa Mitihani unaendelea kama...
Siyo vyema kumlaumu Jenista kwa kuteuliwa katika nafasi alizowahi kuwepo. Wanaomshauri Rais kwa mfumo uliyopo ndiyo wenye lawama.
Uwezo wake ni mdogo kiuelewa na elimu yake ya kuunga. Ila mzuri katika fitina na maneuvering of things.
Wazee wa vetting wafanye kazi zao vizuri na utaratibu wa...
Kwa hiyo anachosema Mwigulu ni kwamba Ph.D yake ndiyo yenye maana na siyo ile ya Heshima kama aliyopewa SSH. Sasa yeye anafanyaje kazi chini ya mtu mwenye taaluma hafifu?
Miradi mingi unayoitaja kuanzishwa na Magufuli ilianzishwa wakati wa Kikwete. Magufuli alikutana na wakati wa kuiyekeleza tu. Hii ni pamoja na Daraja la Tanzanite, Reli ya SGR (Magufuli aliongeza SHR kuwa ya Umeme), Flyovers zote za Dar, Barabara za Kisasa katika Miji yetu na mingineyo.
Mradi...
Mmteule, hivi Waislamu hawastahili kuwa viongozi na kupewa haki zao; kwa kiwa tu ni Waislamu. Inaonekana wewe ndiyo mdini na una akili fupi sana. Kwa akili hizi, hugai kuwa kiongozi kwani ungesababisha vurugu nyingi zisizokuwa na sababu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.