Sikwenda TTC lakini niliishi na mwalimu wa TTC sijui mnafahamu alikuwa anaitwa Parsalaw, sikumbuki mwaka gani hasa nadhani 1976-1978. ninakumbuka vijiji vya ujamaa tulikuwa tunaishi kwenye nyumba ya waalimu directly across from primary school.
Nilikuwa na miaka 8 tu lakini ninakumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.