Tuliosoma Kigurunyembe TTC (Motco) Tujikumbushe haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuliosoma Kigurunyembe TTC (Motco) Tujikumbushe haya

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kabila01, Jun 20, 2009.

 1. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2009
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,015
  Likes Received: 1,828
  Trophy Points: 280
  Mambo vipi ndugu zangu tuliosoma MOTCO?
  kama wewe umesoma Morogoro Teachers College ni lazima mazingira haya utakua unayakumbuka sana.
  kwanza kuna njia inaitwa MZAMBARAUNI najua kipindi cha mchacho njia hii utakua umeipita sana na hata kama sio kipindi hicho basi wakati unajimovuzisha bila kibali maalumu lazima utakua umepita njia hiii
  pili kwa wale waliokua wanakaa mabweni ya juu yaani KIBO na MAWENZI utakua wakati mwingine zilipokutembelea ulikua unakunywa chai kwa Mama KIBIBI pale then unapitia gorofani kushushia maji ya DRip
  Tatu ukishuka bondeni kwa mama Lyimo pamoja na Nongeni kwenye kitimoto na bia
  ni hayo tu niliyonayo kwa leo kwa wana MOTCO

  Huu ni wimbo wa Bweni. "KIBO MAWENZI bweni letu! Bweni letu!.......................................................................................
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  hehehehe duh nimeimiss sana Moro jamani dah bei ya kiti moto kwa mwezi ulio pita ni buku mbili na mia saba tu unapata kilo saafi na kachumbali ya kutosha.
  Jamani vp Kitiko bado yupo? na Mzee wa Bohari pale vp yupo kweli mzee habanduki Nongeni yule.
   
 3. l

  lmollel64 New Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  sikwenda TTC lakini niliishi na mwalimu wa TTC sijui mnafahamu alikuwa anaitwa Parsalaw, sikumbuki mwaka gani hasa nadhani 1976-1978. ninakumbuka vijiji vya ujamaa tulikuwa tunaishi kwenye nyumba ya waalimu directly across from primary school. nilikuwa na miaka 8 tu lakini ninakumbuka mazingara. Nakumbuka mwalimu mmoja aliyepata ajali ya pikipiki akafariki. ninakumbuka miti mingu ya maembe. ninakumbuka miti yenye maua ya manjano. ninakumbu kanisa karibia na chuoni. ninakumbuka shida ya maji.
   
 4. data

  data JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,799
  Likes Received: 6,579
  Trophy Points: 280
  ...poa ticha..
   
Loading...