Recent content by lloyd996

  1. L

    Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Hamtaki kutoa hela kwa Mungu kuwa mtafirisika ila kuhonga, kulewa na starehe nyingine hazifirisi basi sawa. Mkristo wa kweli huwezi sita mtolea Mungu neno liende maana wewe huna kwa kupeleka hela kwa kijinga. Kwanza huna mikosi ya kupoteza hela kijinga, hutoi hela kwa waganga, hufanyi mastarehe...
  2. L

    Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Sasa mbona taasisi za kizungu ndo zinaendesha makanisa ya africa aisee hii story umetoa wapi? Kwahiyo unadhani hii misaada ya kikanisa inaletwa africa hela zinakuwa zimetoka wapi? Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  3. L

    Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Sio kila kitu mpaka muhusianishe na ukoloni ili ndo watu wawaone mnaongea vya maana sana jamani. Sasa wewe mwafrika unatoa hela gani kanisani kusema unawafaidisha wazungu. Hivi unajua ni kiasi gani wazungu wamechangia kwenye hayo makanisa mpaka kufika hapo yalipo. Labda useme waafrica baadhi...
  4. L

    Zaka ya 10% unatoa kwenye faida au kwenye utajiri wako?

    Na vipi kuhusu nafsi ya Mungu mkuu ambae hakuna binadamu ambae amewahi kuiona kamwe iketiyo mahali patakatifu juu mbinguni? Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  5. L

    Zaka ya 10% unatoa kwenye faida au kwenye utajiri wako?

    Sasa ni kwanini katika bible anatajwa Roho mtakatifu anatajwa Yesu na anatajwa Mungu baba? Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  6. L

    Zaka ya 10% unatoa kwenye faida au kwenye utajiri wako?

    Kwanini unakataa nafsi tatu za Mungu? Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  7. L

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Ni wewe tu na kutojua historia kwako aliekuambia nani lengo la waafrica kutawaliwa ni kupewa tu dini kinguvu nani?
  8. L

    Ili mtu mweusi aweze kuendelea anabidi kujifunza kutoka kwa mzungu na watu wa dunia ya kwanza

    Mi ni mshabiki wa hip hop ila kiukweli hip hop ni mbaya na haifai kwa jamii zetu. Kule ni drugs, guns and violence hasa na kitu kinaitwa african american culture kukimbia watoto kuwaachia single mothers na thug life eti one wife ,mistress and girlfriend(prostitution). Sent from my SM-G955U...
  9. L

    Huzuni/furaha tunazitengeneza sisi katika haya maisha, kila unachodhani kitakupa furaha kipo neutral + SULUHISHO LAKE

    There is no such thing as uhuru wa kifedha hapa duniani tena more money nd kifungo zaidi na zaidi. Kwanza aina ya marafiki inachange from nkipata b15 tu ntakuwa na furaha na story za namna hiyo kwa watu unaokuwa nao around to nna b15 bank natakiwa nifanye nini. Unakuja kugundua it's lonely at...
  10. L

    Huzuni/furaha tunazitengeneza sisi katika haya maisha, kila unachodhani kitakupa furaha kipo neutral + SULUHISHO LAKE

    Matajiri ugonjwa wao mkubwa ni power mkuu na maswala ya eternal life sababu ya kuhofia kupoteza vingi. Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  11. L

    Ulishawahi kuona malaika?

    Na kwanini Mungu amtume malaika kwa mtoto mdogo ambae hawezi mfundisha kitu chochote mtu mzima na uelewa wake unakuwa mdogo? Au unadhani kumuona malaika ni just as flexing ya utakatifu tu au? Umekazania la mtoto mtakatifu mtakatifu ko utakatifu ni kumuona malaika tu? Sent from my SM-G955U...
  12. L

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Wewe mwafrika umeibiwa na sayansi kuliko dini ila bado unaitetea na kuishobokea hapa. Watu wamaefikaje hapa africa kirahisi(sayansi) wamechimbaje vya kuchimba vyetu( sayansi) wameachaje neo colonialism ( sayansi) wamewezaje kukutamanisha wewe na kizazi chako fantasy world ikiwa na wao...
  13. L

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Kwahiyo hao waislamu wanajua sana historia ya wayahudi kuliko hata wayahudi wenyewe? Maana wayahudi biblia yao inatumia maandiko sawa na agano la kale la biblia takatifu. Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  14. L

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Na angemtokea kila mtu na akafa sababu ya Mungu jinsi anavyoichukia dhambi ungesema Mungu muonevu kwanini asiwatokee watu wachache watakatifu ili sisi wengine tupone. Wakati Mungu anamtokea Mussa kumpa zile mbao mbili hivyo hivyo wafuasi wake waliomba waongee na Mungu direct radi zilizopiga pale...
  15. L

    Uchawi vs akili

    Mwafrica ni mtu aliepotea kutokana na husuda na kutamani vya majirani ili hali hajui hata jirani kafikaje hapo. Hao mnaowaita sijui technlogical advanced sijui kitu gani utagundua it's all bullshit. Ukweli ni kuwa wao wamegraduate kutoka uchawi mpaka kwenye advanced level ya kuongea na baba wa...
Back
Top Bottom