Unajua kuna watu kazi yao kukosoa tu,rais ana majuku mazito ya kuliongoza taifa hili,ndio maana kuna amani,hivi mtanapotoa lawama rais kafanya hiki mara kile mnapata nini,unajua mtu yeyote asiye nashukrani ukifuatilia utaona ana matatizo lukuki,nakushukuru uliyeleta hii thread hapa javini,na...