Nimesoma Review nyingi kuhusu Mazda Cx5 na moja ya matatizo ya hizi gari ni Kwamba kioo cha mbele ni rahisi sana ku Crack. Kwa uzi huu pamoja na CX5 nyingine mbili nimeziona zote zina Kioo cha brand ya XYG maana yake Wind Screen ilishabadilishwa. Na kuna CX5 moja nimeiona Juzi Maeneo ya Coco...
Hizi Gari Nairobi zimejaa wanasema ziko nyingi Kama IST Dar es salaam. Ila wanasema Za Petrol ndio uhakika, za Diesel zina usumbufu japo ndio Zina nguvu na ndio zinatumia mafuta kidogo. Nenda You tube Search channel ya Kenya inaitwa "Carnversation" ame Review Cx5 vizuri sana.
Dar es salaam...
Kutembea RPM ndogo kwa Speed kubwa inawezekana kabisa, kikubwa kabisa inachangiwa sana na Aina ya gear box. Kama una 4 Speed Automatic kama iliyo kwenye Harrier tako nyani sio rahisi Utembee speed kubwa bila RPM kupanda juu. Ila kama una Six speed Automatic kama iliyo kwenye Mark X GRS 180 au...
Kwa Uzoefu wangu kila Gari Inayotoka Japan lazima pale upande wa Kushoto kwenye Kioo cha mbele juu iwe ina Sticker mbili. Moja ni ya Duara ina rangi ya njano huwa inaandikwa "Inspected Mileages" huwa inaandikwa Mileages za gari zilizopo kwenye Odometer kabla haijasafirishwa kuja Tz. Na Chini...
Nina miaka 31 sasa hivi lakini sikuwahi kukutana wala kumjua kunguni anafananaje. Ila wiki iliyopita nilishangaa usumbufu usiku nikilala naona mdudu naua ila baadae anatokea mwingine nikaua mmoja nikashangaa damu kwenye mto. Ikabidi nichukue simu ni google Kunguni matokeo ya picha yalipokuja...
Nita wa update kila gharama ninayo tumia kwa hatua zinazofuata baada ya hapo.Maana ujenzi haujasimama unaendelea mpaka sasa hv.Jana nimepiga Jamvi nyumba nzima na gharama ya materials na ufundi kwa kazi hiyo imeni cost 1.42m.Next stage ni Kupaua.
Mpaka hapo imelamba 14m.Ninaijenga mwanza.Ni nyumba ya 16m×16m.Ina vyumba 3 vyote ni self contained,Ina jiko kubwa,Sebule kubwa,Dining, Master bedroom ndio usiseme ni mita 6×7.Hiyo 14m imehusisha pia gharama ya Kuchimba na kujenga mashimo ma 2 ya choo.Mdau ulieanzisha huu uzi endelea na ujenzi...
Real motors gari zao ni nzuri sana.Yaani kila nikiingia trade car view kuagiza gari huwa natafuta za kutoka kampuni ya real motors.Nimesha agiza gari 5 tofauti kutoka real motors na zote nimezipokea zikiwa kwenye Excellent condition.Usiwe na wasi wasi na hiyo kampuni.Director wake wa sales...
Inaweza ikawa sawa tuu gari yako.Kwani ww unajua hizo 109km za Chalinze zomepimwa kutokea wapi??Inaweza ikawa ni kutoka posta au kkoo na wala sio Ubungo.Maana mm mwenyewe huwa nafuta km kutokea Sinza ila nikifika Morogoro Msamvu inasoma Km zizisizofika hata 180km wakati vibao vinasema Dar moro...
Hata mm nadhani itakuwa loose connection ila sio Bettry down.Na kwenye Teminal vichwa vyote vya positive na Negative vimekaza vizuri japo asbh niligusa kile kichwa cha positive nikaona kama kinapata moto.Wajuzi wa umeme wa magari naombeni msaada wenu.
Nina tatizo naomba mnisaidie.
Leo asbh wakati nataka kuwasha gari nimeweka Switch on haijaonyesha kitu.Baada ya muda kama dk 3 hv ndio ikaanza kuonesha switch on ila ikiwa imefifia.Baada ya dk 2 Nikaweka switch off, halafu nikaweka tena Switch on ndio nikaona imekubali ikiwa na full charge na...
Kama mfuko unaruhusu nakushauri uchague Kluger ni nzuri zaidi ya Rav 4.
Ila Ukichukua Kluger hakikisha inakuwa na Injini ya 2AZ ya Cc 2400 vvti hiyo ndio iko vizuri kwenye matumizi ya wese.
Kuna Kluger V6 cc3000 hizo ni majanga hakikisha hauchukui Kluger ya namna hiyo.Bodi zinafanana kila Kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.