Recent content by LIVINUS ROMANUS MAYANGA

  1. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

    watanzania kuacha kula sio shida. shida kuna wasukuma hawa viumbe hakuna anayeweza kuwatenganisha na ugali [emoji23][emoji23][emoji23]
  2. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    JamiiForums Tanzania Ili niweze kujenga shule ya msingi natakiwa kuwa na eneo lenye ukubwa kiasi gani (sqm ngapi)?

    Habari za asubuhi ndg wakuu. nimejitafuta kwa miaka 14 tangu nilipohitimu chuo sasa nafikiri kujiajiri kwa sababu nimesubiri ajira kwa muda mrefu bila mafanikio. Nafikiria kujiajiri katika fani yangu. So nahitaji msaada kujua ili niweze kujenga shule ya msingi natakiwa kuwa na eneo lenye ukubwa...
  3. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    JamiiForums Tanzania Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bro ulikuwa utani tu wala sikuwa na maanisha maana kilichotokea kwako na me kinaweza nitokea coz na me nina mtoto wa kike so siwezi kubaliana na hili
  4. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    JamiiForums Tanzania Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    Sio kila kosa mtoto anastahili kupewa adhabu ya bakora. Adhabu ya bakora inapaswa kuwa adhabu ya mwisho baada ya adhabu zote alizopewa mtoto kushindikana na kawaida mtoto wa kike anapaswa kuchapwa mkononi na siyo kwenye makalio. mtoto kuadhibiwa kwa kosa la mzazi ni kosa. "Siungi mkono...
  5. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    JamiiForums Tanzania Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo mzazi unataka kuja tusaidie kuwabandika
  6. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    JamiiForums Tanzania Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi itabidi uandike walaka uwapelekee
  7. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    JamiiForums Tanzania Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au serikali ikuajiri we
  8. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    JamiiForums Tanzania Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    wanajua punda haendi bila mjeredi
  9. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    JamiiForums Tanzania Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    kwani mtoto alichapwa kisa kamkataa mwl au hakufikisha taarifa kwa mzazi
  10. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    JamiiForums Tanzania Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    aaanh we hii kazi siachi mpaka nakufa
  11. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    JamiiForums Tanzania Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    milele amina tutaendelea kuwabandika mpaka akili iwakae vizuri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  12. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    JamiiForums Tanzania Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    inabidi serikali iliangalie hili swala la wazazi wajingawajinga kama hawa nawao tupewe kibali cha kuwabandika tu maana hawajielewi kabisa
  13. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    JamiiForums Tanzania Walimu punguzeni adhabu zisizo na kichwa wala miguu kwa watoto wetu

    aaanh we hata kama mshua wako awe nani me nakubandika tukisema tuanze kuangalia sijui mtoto wa flani baba yake asichapwa hatuwezifika
Back
Top Bottom