kwani chadema makao makuu n moshi?ACT mnayemngoja kama mkomboz kafanya nn kigoma?maendeleo hyaletw na chama kaka ...n ww mwenyw...jwan kuhama kwa ikulu pataathr nn...mbona iko dodoma na wagogo hal ya maisha inazd kua...
hamna cha ukomboz apo....fisi ni fisi....haina maana akibahatisha minofu atasahau mifupa!!kjana alitaka kuonyesha umaarufu lakin hakujua anacheza karata na fildmarshall(mbowe na t.lisuu the geneus).....kisiasa nauona mwisho wa ACT kama uleeeee wa TLP
uyu jamaa hamna ktu ye anafananisha escrow na mgogoro wa wacheza bao......et pesa n ya iptl....bt apo apo anadai baada ya mgawanyo imeiletea serkal umaskin.....whch z whch apa
...izi pumba anawalsha wenye njaa wa dar aende kwa wazee wa mosh ka watamskilza.!!!
mjepo we ni sawa na mwendawazimu kakimbilia kwenye nyumba ya vchaa.....tena nahisi ulisoma enzi za wakurupurukaji wasio na sababu...rada...china issues hukumbuku?
au we ndo wale waelewa baadae.?
na huu ni uelewa wako tuu wa kufuata dead statistical details. ....kwan unafurahia nin kutoka kwenye ilo kundi la nchi maskini wakat ugumu wa maisha ndo unaongezeka siku adi kesho.???
sugu kichwa...kwa hoja hyo bado usemi wa mnyka una nguvu kuwa.''tumefikia umaskn huu kwa juhud za ccm.''..mnaomponda sugu wote..ACHENI UKALE(CONSERVATISM)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.