Recent content by livia hunt

  1. livia hunt

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

    Unaweza. Mimi hupendelea tu hiyo vanila
  2. livia hunt

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

    Kwasababu nimefanyakazi kubwa kutangaza bidhaa yangu ipo baadhi ya mikutano ikiwa inafanyika naitwa nipeleke na hii ndio hunipa faida haswa maana nawapelekea kwa 300. Kuna wateja wangu spesho wanaweka oda kua wanahitaj kiasi gani,pia nimetafuta masoko maeneo tofaut tofaut napeleka madukani and...
  3. livia hunt

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

    Mie nipo Dar - Tabata. Vifungashio natumia vya vifuko na vya aina ya vijikombe nanunua k/koo soko dogo kuna maduka ndani yanauza bidhaa zote za icecream, lakini mtu anaweza tumia vifungashio vinavyompa urahisi wa upatikanaji swala tu wateja wako wavielewe si lazima utumie kama navyotumia mie.
  4. livia hunt

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

    My friend, ndo maana nikasema inatemegea na ubunifu wako. Icecream hizo hizo kwa gharama hiyo hiyo ya raw materials mwingine atauza 100 mwingine 200/300. Pia usafi na jinsi gani unatanua soko lako. Kikubwa biashara itoke kwa wakati. Hata biashara ya genge mwingine ataona anayeuza genge hapati...
  5. livia hunt

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

    Hello friends ... Naomba nijibu maswali yenu hapa. Kama nilivosema mwanzo kuna aina nyingi za icecream ila pendwa sana ni za maziwa. Mie hutengeneza za maziwa na za ubuyu, nianze na za maziwa. MAHITAJI 1. Maziwa ya unga 2. Sukari 3. Maji 4. Ladha (vanila) 5. Rangi ya chakula ( mie hutumia...
  6. livia hunt

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

    Je, wajua utengenezaji wa ice cream unaweza kubadili maisha yako? Utashangaa right? Ndio ice cream hizi hizi unazozijua za kutengeneza kwa mikono yako. Kutokana na wingi wa vijana wengi kua mtaani na kuwa tegemezi kwa madai kwamba hawana cha kufanya nimeona nifanye ku share hapa. Ice cream ni...
  7. livia hunt

    JamiiForums Tanzania Mjasiriamali : Utengenezaji wa mafuta ya mgando (ya kupaka)

    Queen sorry i real need this education am willing to pay for training,,,,,, how do i contact you ? (0765416728)
  8. livia hunt

    JamiiForums Tanzania Mjasiriamali : Utengenezaji wa mafuta ya mgando (ya kupaka)

    hey mambo am livia.... sorry can you contact me 0765416728
Back
Top Bottom