Recent content by litwangilo

  1. litwangilo

    Hakuna watu wenye roho mbaya kama wanaotafuta vyeo makazini!

    Jamani, labda ni mimi tu, lakini nimeshaona mara nyingi — hakuna roho mbaya kama za watu wanaotafuta vyeo makazini. 😅 Ukiwa nao ofisini, kila siku ni siasa, fitina, na “kujisafisha” mbele ya wakubwa. Wanajifanya wasafi, wanatengeneza “connections” huku wanapandikiza chuki taratibu dhidi ya...
  2. litwangilo

    TAFADHALI piga picha na wazazi wako

    Gen Z chukueni huu ushauri. Kama una baba au mama hakikisha umepiga nao picha.
Back
Top Bottom