Mkuu vyote nimeweka hivyo, option ya high perfomance, pia uwa nacheza ikiwa inacharge…nikiweka low settings ndo inakubali nayo bado haipo smooth kivile
Habari zenu wakuu
Hivi ipi ni option nzuri kwenda nayo, Desktop kwa ajili ya gaming au PS5
Kama bajeti ya Ps5 ni almost 1.5M, je kwa 1M naweza kuunda desktop itakayotoa experience zaidi ya PS5?
Natanguliza shukrani.
Cc: Chief-Mkwawa
Habari zenu
Msaada wadau, nataka kusafirisha vitu vya ndani (kitanda, godoro, kabati, makochi, friji etc) kutoka Dar kwenda Mtwara mjini.
Niwatafute wakina nani/kampuni gani? Vipi gharama zinaweza kuwa kiasi gani? Pia kama kuna ushauri mwingine wowote napokea.
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.