Recent content by listenboy

  1. L

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

    Either kulipa kisasi kumchafua kwa makusudi sisi haituhusu, ila katika kulipa kisasi ukweli unapogundulika utendewe kazi. Kama ka forge vyeti na kavitumia katika taasis mbali mbali na kadanganya taasis hizo sheria ifate mkondo wake. Bas ka ni ukuu wa wap sijui hauvuliwi kwa kuwa na zero, ila yy...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Vitu Vilivyo Vumaa na Kupotea!(Hoti Topics)

    Awamu 7 za mchakato wa madawa(Miharadat) ikaishia awamu ya 3. Nayo imepita
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni namba 6 kati ya Nchi 15 Wafanyakazi wanakolipwa mshahara mdogo zaidi duniani

    Prove them wrong then[emoji49]
  4. L

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango kwa hisani ya Vodacom wametupa taswira halisi ya wapinzani wetu

    Kumbe moja kati ya kaz ya upinzani sio kuikosoa Serikali lol! Au unataka uwaandalie ratiba ya kip cha kusema na lin.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Walokole, Wapentekoste na wasabato hupata wapi majina ya kubatiza watoto wao?

    Utakatifu waliwatunuku wa Rc, pandenyingine wanatambulika kama watume tu
  6. L

    JamiiForums Tanzania Polisi feki adakwa Mwanza

    Iv hatakiwi kupelekwa mirembe kweli huyo?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nmekuja kuamka Siku ya Pili nimevaa boxer tu. akina dada na wanaume wenzangu chondechonde

    Ivi alifungua bia zako wakat watandika kitanda chako au?
Back
Top Bottom