Recent content by Liscky

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wenye ufahamu na Z3X easy JTAG

    Nlikua nnahitaji ninunue JTAG but kwa kua bubget yangu ndogo nlitaka nichukue bila ufs socket lakini nna swali kwa WENYE kutumia JTAG.Hivi nikiwa na hiyo package ambayo Haina ufs socket nitaweza kufanya kazi za simu za ufs kwa isp au mpk ninunue socket ya ufs?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa simu software nna Alcatel 5007u tool gani inatoa frp na network unlock?

    Kaka mm mwenyewe ni fundi so nnachohitaji ni maarifa kaka
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa simu software nna Alcatel 5007u tool gani inatoa frp na network unlock?

    Nnahitaji kutoa Frp na kuunlock network ikiwezekana na kudisable ADMIN CLIENT if posible.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Je, M-Pesa master card wanakata kiasi gani unapofanya manunuzi Aliexpress?

    Naomba muongozo juu ya makato pale unapofanya manunuzi Aliexpress
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mafundi simu wa Hardware

    Habari, Mm ni fundi simu na ninapenda kuzidi kujikita zaidi katika kupata maarifa mapya ya kazi yangu so kuna suala la kubadilisha Memory (internal), Proccessor, Power IC. Napenda kujua kubadilisha hivyo vitu haswa kwny simu hizi za MTK, SPD na Qualcom. Hivyo ningependa kujua ni vifaa gani...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua fridge ni brand gani nzuri?

    Oukey mkuu nimekupata asante kwa ushauri
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua fridge ni brand gani nzuri?

    Nahitaji kununua fridge ni brand gani nzuri ya kuendana na bajeti yangu ya laki 6?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Habari, Ninihitaji kuagiza bidhaa Aliexpress so sijawahi kufanya hivyo hata siku moja Hivyo naomba wenye kufahamu mnieleweshe ili niwe na ufahamu niwe naagiza Bidhaa huko na ziweze kufika salama
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu piteni hapa

    Naulizia ni wap naweza kupata stencill na soldering paste kwaajili ya relballling ya Ic za cm
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwa nini technology inayotumika kutuma signals za Channeli za TV isitumike kusambaza intaneti?

    Fanya mchakato tupate code hizo za Azam
  11. L

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Voda nyie sahv usanii umewazidi hamna kitu yaan network inazingua cm hazitoki ukituma txt km umeipeleka kwa miguu inachelewa kufika,ukiweka vocha hata kama una bundle unakuta mshaikata so kama mmeshindwa its better mkazima vimitambo vyenu mkafanya shughuli zingine jaman mnatukera
  12. L

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nyie voda mnazingua mmenifanya cku hizi nicwe naweka credit nyingi kwenye cm yangu kozi nikiweka nakuta imepungua kiajabu ajabu tu au cku hizi mnatufanyia mazingaombwe? Acheni kuzingua
Back
Top Bottom