Vijana tunapaswa ku lasimisha biashara zote na kuzifanya kuwa ni ajira lasmi na kuachana na kusubiri kuajiliwa.Mfano nlienda uk kazi ya kuosha magari inafanywa ki smart na imekuwa ikiwapa vijana wa kule kipato ila huku kwetu hatutaki hizi kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.