A ONE MAN SHOW PART TWO OF TWO:
_Jibu: "It sounds you're geting your girl back! You Be the Judge, you're doing fine... Don't cheat, okay?" Dah! Hata kama wamenipa moyo, lakini sasa...?
Nikaubadili mziki, nikaweka kichupa anacho kielewa kwenye show, baada ya mapumziko ya Yoga. Akiwa ameshuka...