Recent content by lion101

  1. lion101

    Hostel, Kigamboni Kisiwani karibu na Tungi hospital

    Mkuu bado huduma hii inapatikana
  2. lion101

    Hitaji la hostel eneo la kigamboni

    Nahitaji hostel maeneo ya kigamboni isiwe mbali sana na farry na chumba atleast cha wawili na gharama iwe nafuu
  3. lion101

    Mishahara Jeshini, inatolewa kwa kuangalia umri wa kazi au Cheo cha Askari?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa haupe serious
  4. lion101

    Ni kweli kuna nafasi maalum za jeshi kwa wanajeshi wenye vyeo?

    Zipo mkuu ila tu cjui process zake
  5. lion101

    Ni kweli kuna nafasi maalum za jeshi kwa wanajeshi wenye vyeo?

    Hv hiwa na jesh moja kwa moja or kjt kwanza dan ndo jeshi
  6. lion101

    Ni kweli kuna nafasi maalum za jeshi kwa wanajeshi wenye vyeo?

    Wana jf kwa anayejua kuhusu hizi nafasi ambazo wanajeshi wenye vyeo hupewa kwa ajili ya vijana au watu wao wakaribu kujiunga na jeshi, huwa zinaenda vipi?
  7. lion101

    HR Vodacom wekeni wazi ajira zenu

    Minaunganane nae mkono kwa anachoongea tuanze tu na ur web page hakuna hata carrer page na prove to us tangazo public la ajira toka vodacom la mwisho
  8. lion101

    Mahali Duka linalo uza suti hususa za kiume kwa Dar

    Habari ? Wana JF polen ma majukumu ya kila siku ninashida ya kufahamu maduka nayoweza pata na kufanya manunuzi ya suti za kiume hususa kwa dar ambazo bei yake ni nafuu pia .asanteni
  9. lion101

    Wanunuzi wa magari tusikose hii neema

    Alteza black namba c or d asap
  10. lion101

    FURSA

    Find me in ur group
  11. lion101

    Tunajenga Mabwawa ya samaki na Mabanda ya kuku

    Itakuwa vizur sana ukitimiza hili ombi
  12. lion101

    Tunajenga Mabwawa ya samaki na Mabanda ya kuku

    Mahali popote tanzania hii or kwa specific location tu.
Back
Top Bottom