HR Vodacom wekeni wazi ajira zenu

HR Vodacom wekeni wazi ajira zenu

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
3,574
Reaction score
4,856
Katika biashara ambazo company sake zinapata fedha nyingi ni makampuni ya simu. Vodacom hivi huwa mnaajiri wapi watu wenu tumeona kwamba wengi kwenye team yenu ya Communication, Marketing, lakini tunashangaa kuona sura Mpya tu hivi ajira zenu mnazitoaje Kwa kujuana au. Pili employment web portal yenu haiko friendly sana. Ni kwanini msitengeneze recruitment email watu wanatuma maombi yao huko. Anyway nimeona shilawadu wakija ofisini kwenu na Yale majina tuliyoyazoea kuuza sure kwenye marketing wengi wamekimbia sijui target au budget mmewanyima.
 
Hawa wanaajir kwa kufahamiana bwana, mtu anamaliza form 4 anasoma computer miez 3 anaingia kazn,nmeona hyo Vodacom shinyanga kipind nafanya pale kama freelancer mwaka 2011 nilipokua nmemalza form 6, Mdogo wa mtu mkubwa (manager) aliingia hvyohvyo, hzo ni ajira za kufahamiana Nina evidence za ktosha, mi kipnd kile nilikua na form 6 na mjuz wa computer na chet kabsa lakn niliongozwa na drs 7, na form4 wanaoenda kila jion kusoma computer! Niliwapa CV zangu zote lakn hakna kitu!
 
Wananchi tunaomba mpuuze huyu mtu si kweli kwamba kazi huwa hazitangazwi ana stress za Maisha.

Vodacom ajira ni zakufahamiana mbona unakumbatia hlo wakat lipo waz? Ukipnga toa evidence ajira zenu mnatangaza web gan? Lini? Kama zipo zinajurkana kwa walio kwenye system zenu tu, mpaka sasa Team leaders, na customer care weng ni wakupewa, mfano Vodacom shy kuna team leader hata hajui kusoma vzr, kisa tu ni ndg wa.....najua maana nmefanya nao kazi, Nepotism is the barrier of success!
 
Na wengiwao hawana taaluma ni ujanja janja tu, anakalili system za sim swarp, register,m.pesa nk amemaliza! Hakna anaefanyiwa interview wala nn, hebu anzen ktoa ajira nawatu waombe na usail uwepo tena uwe Dar na wamkoan waje dar kufanyiwa muone kama hao drs 7 kama watatoboa! Muwe wazi sio kujfanya mpo waz wakat hakna kitu, TANGAZENI AJIRA ZA NGAZI ZOTE NA SIFA WATU WAOMBE MUACHE UJANJAUJANJALOOOOOOOOOOOO!
 
Troll JF nadhani wewe utakuwa Labda unanufaika au umepewa kazi pale VTL. Hivi walipoondoka wakina mwakifule na mwamvua zile nafasi zao mlizitangaza wapi???

Au nafasi ya Blackberry Administrator au Vas alipewa dogo mmoja alitoka barclays ile ajira mliitangaza wapi???
 
Kiongoz hawawez kukupa majibu! Kinachofanyika ni kujuana na kupeana,hakna matangazo ya ajira zao!
 
Hata kina Hector,georgia, na joseline walipoondoka hizo nafasi zilitangazwa wapi. Inabidi mtumbuliwe na waziri Wa kazi na ajira
 
Na wengiwao hawana taaluma ni ujanja janja tu, anakalili system za sim swarp, register,m.pesa nk amemaliza! Hakna anaefanyiwa interview wala nn, hebu anzen ktoa ajira nawatu waombe na usail uwepo tena uwe Dar na wamkoan waje dar kufanyiwa muone kama hao drs 7 kama watatoboa! Muwe wazi sio kujfanya mpo waz wakat hakna kitu, TANGAZENI AJIRA ZA NGAZI ZOTE NA SIFA WATU WAOMBE MUACHE UJANJAUJANJALOOOOOOOOOOOO!
ujumbe umefikaa na tuna imani wahusikaa wapo sasa walifanyie kazi,,... watu wana sifaa za kutosha wana kufa njaa ao wa gwa ...... wana enjoy maishaaa lalekiiiiiii

mungu anawaonaaa
 
Jaribu tu kujipendekeza kwa mtu mfahamiane vinginevyo huko utasubiri sana. Hao zaidi ya kuangaliwa wanafanya biashara kwa mujibu wa sheria na kodi wanalipa hakuna mwenye muda wa kufuatilia mengine.
 
Hata kina Hector,georgia, na joseline walipoondoka hizo nafasi zilitangazwa wapi. Inabidi mtumbuliwe na waziri Wa kazi na ajira
Serikali Ina mamlaka ya Kuangalia kama wanalipa Kodi au hawalipi si mambo ya ajira za Vodacom.
 
Mambo ya ujanja ujanja yashapitwa n wakati, nchi yetu sote, kazi n fursa kwa kila mtu. Acheni unaaaa... Tangazeni kazi
 
unajifunza nn pale maada za msingi zinpotolewa halafu wale wachangiaji wa kila maada wapo kimyaaaaaaaa [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Wale shilawadu kilichowapeleka pale voda ni nini? Wao wanahusika na maswala ya umbea halafu wameenda voda?

*kila mtu ana haki ya kupata ajira, vijana wengi wanahitaji kazi na connection kwenye makampuni makubwa km voda hakuna. Ajira zisitolewe kwa upendeleo
 
Acheni majungu vijana kazi zinatangazwa hata Leo acheni kulia lia mtakua mlikua wapiga deal au mna vyeti feki.

Screenshot_2016-11-15-18-25-10.png
 
Swala sio kutangaza tuu wawe na email ya kutumia maombi sababu hata juzijuzi wametangaza nafasi ya Mpesa admin lakini kwenye employment web portal yao haionekani.
Shilawadu walikwenda kuwatemebelea nadhani na kureport
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom