Recent content by liolio

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Sikudhani kama mtafikia hatua hii ya kuwa na wazo nililokua nikikifikilia big up to u mates. Xfactor nimekutumia namba zangu tayari.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Jaribu kufuatilia thread hiyo tokea mwanzo jamaa ameeleza vizuri na kiuzalendo zaidi.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Nashukuru mkuu. Ila kwa mwonekano ili uweze kununua bidhaa inahitaji upembuzi wa hali ya juu sana ili kupata bidhaa ambazo ni cheap ili utakapoagiza uweze kupata profit pia. Thank you very much.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Mkuu naomba msaada jana katika pita pita zangu aliexpress nimekuta bei ya bidhaa zikiwa in PIECE OR LOT sasa hiyo per peice nimekuta Nivea ikiuzwa dola 17.33 sawa na kama elfu 33,000 za kibongo sasa swali najiuliza hiyo bei anaposema per PEICE anamaanisha Dozen au Cutton au ndo ka unit kamoja..???
  5. L

    JamiiForums Tanzania UPDATE Mazishi ya pamoja: Watu waliofariki katika ajali ya Nganga Makaburi Ya Msamvu

    Jamaa yangu amenipigia simu kutoka kwenye mazishi amepata taarifa ajali nyingine iliyotokea mikumi na basi kutoka mbeya imechinja watu 12 papo hapo.
  6. L

    JamiiForums Tanzania NNZ Classic Beauty, Mbagala

    NNZ CLASSIC BEAUTY Nunua na urudishiwe pesa yako. Vigezo na Masharti 1. Mteja aliye kwenye droo ya punguzo la bei tu ndio atakayeweza kulipwa faida hiyo. 2. Sifa za mteja aliyeingia kwenye droo ya punguzo la bei ni yule aliye fanya manunuzi au kushawishi watu kununua bidhaa kumi ndani ya...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Opportunity For marketing students!

    Uzuri wa JF watu wapo open ukitaka kutoa fursa kuww open hiyo ndo siri kubwa ya humu. Kwan kuna watu wanatoa fursa nyeti hata yako unayotaka kuitoa ki usiri unaweza ona cha mtoto. Mwaga tu kiongozi humu full uzalendo.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Opportunity For marketing students!

    Badala ujibu postive posts unalalamika na hao watu au wanaongea kweli nn...? Hii ndo jamii forum bana weka fursa tusonge ukileta ujanja ujanja unapotezwa na critical thinker
  9. L

    JamiiForums Tanzania Opportunity For marketing students!

    Hata mie ninavyo mkuu mwaga sumu hapo tufanye kazi.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji line za Uwakala za M-Pesa na Tigopesa

    Weka bei hapo hiyo bishara.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukosa kwenda choo kikubwa

    Sory kwa kuingilia thread. But naomba kusaidiwa nina scalp infection kwa muda mrefu sasa inanisumbua nimepewa ant biotic inapotea then inarudi tena nifanyeje?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    Wote ndo wale wale na Agri wako
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Mkuu I do appriciate u never seen before. Great Ideas.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Endeleza mkuu usafirishaji hapo mpaka maswala ya kodi na tbs na vingine
  15. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuku wa kienyeji

    Subiri wanakuja.....!
Back
Top Bottom