Recent content by Lio tz

  1. L

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kubadili course SUA

    Mkuu Mimi Nina div 2 ya 10 cbg Chem-C,geo-C,bio-D,Bam-s,g.s-E For agriculture general nakidhi maana nimechaguliwa aea nahisi itanisumbua coz cna msingi mzuri wa uchumi na pure
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kubadili course SUA

    Ila wanaofanikiwa kuhama in wengi au no idadi ndogo sana
  3. L

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kubadili course SUA

    N Na kozi nyingine ina kuaje mfano unatoka aea mazimbu kuhamia agriculture general main campus nayo inasumbua
  4. L

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kubadili course SUA

    mkuu mbona tunasikia wengi tu wanahamiaga main camp hata kutoka vyuo vingine ugumu unaosema unatokea wapi Wakati ni chuo kimoja
  5. L

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kubadili course SUA

    Naomba msaada wako kudadavua zaidi kuhusu uzuri wa AEA
  6. L

    JamiiForums Tanzania Bsc in agriculture economics and agrbusiness vs bsc in agriculture general

    Kuajiriwa lakini b4 ajira niwe na chakufanya nisikae idle
  7. L

    JamiiForums Tanzania Bsc in agriculture economics and agrbusiness vs bsc in agriculture general

    Lengo kubwa ni kuajiriwa but nafahamu cio easy kipindi cha msoto kitakuwepo ndo maana am looking for multporposes course ambayo ntaweza kujiajiri huku nasikilizia steping stone
  8. L

    JamiiForums Tanzania Bsc in agriculture economics and agrbusiness vs bsc in agriculture general

    Agribusiness nafiti maeneo yapi zaidi maana naona nikozi ambayo hata post zake sizionagi compare to agriculture general na vp kuhusu agronomy
  9. L

    JamiiForums Tanzania Bsc in agriculture economics and agrbusiness vs bsc in agriculture general

    Wakuu habari ninaomba ushauri nimemaliza form six Nina div 2 ya 10 cbg nimepangiwa bsc in agribusiness ninataka nikabadilishe hio kozi nikasome Agriculture general au agronomy naomba ushauri wenu juu ya maamuz haya mkizingatia sina background na economic hata ya olevel also marketing ranks ya...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliw multiple selection

    Lab hii ni ile ya viwandan na nimefatilia must ndo wanaitoa kwa Mara ya kwanza degree yake
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliw multiple selection

    Hil lab sio ya afya ni technical lab
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliw multiple selection

    Sawa brother kwann umeipa kipaumbele hii
Back
Top Bottom