Recent content by linyaku

  1. linyaku

    JamiiForums Tanzania Najuta kuhamia kwangu Kerege

    gari weka mfumo wa ges
  2. linyaku

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi

    [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
  3. linyaku

    JamiiForums Tanzania Waliojenga nyumba hupenda kuwaogopesha wengine kuwa ujenzi ni gharama!

    fundi anapewa kiroba cha unga kilo 25,kifusi unanunua maandazi watoto wanajaza,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
  4. linyaku

    JamiiForums Tanzania Waliojenga nyumba hupenda kuwaogopesha wengine kuwa ujenzi ni gharama!

    mkikaaa humu kututishiaaaaaa sana nyie watu wa mjini, tukiwaulizia magari mnatutisha,nyumba mnatudanganya hapa m35,mi nimejenga na kagari hata m10 haijafika,we jenga kwa sifa shauri yenu mi nataka nijenge nyingine kwa m3.5 na bia nakunywa et m 35 wakati mshahara wa laki 7
  5. linyaku

    JamiiForums Tanzania Waliojenga nyumba hupenda kuwaogopesha wengine kuwa ujenzi ni gharama!

    we umenena,mi nimejenga hata m7 haijafika na nikitaka kuhamia nahamiaaa nnitamalizia nikiwa humuhumu
  6. linyaku

    JamiiForums Tanzania Waliojenga nyumba hupenda kuwaogopesha wengine kuwa ujenzi ni gharama!

    mi nimejenga vyumba 3 kwa m6 na msouz kabisa na mageti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. linyaku

    JamiiForums Tanzania Waliojenga nyumba hupenda kuwaogopesha wengine kuwa ujenzi ni gharama!

    we kwetu m2 mtu anahamiaa,msitutishie hapa
  8. linyaku

    JamiiForums Tanzania Kwa milioni 5 naweza kujenga nyumba ndogo Dodoma?

    tofali 900 toka msingi au?
  9. linyaku

    JamiiForums Tanzania Usimuulize gharama ya Ujenzi mtu mwenye nyumba

    kujenga hatari kila m1 anasema yake
  10. linyaku

    JamiiForums Tanzania Mjengo wa vyumba viwili ukiwa kwenye mchakato

    mi nashangaaa sana unajenga nyumba kubwa halafu hadi unapotea chumba cha kulaalaa jenga vyumba viwili piga ac, nje ist mpya maisha yaende
  11. linyaku

    JamiiForums Tanzania Mjengo wa vyumba viwili ukiwa kwenye mchakato

    jiko la nn m msela, kula kwa nn nipike?
  12. linyaku

    JamiiForums Tanzania Mjengo wa vyumba viwili ukiwa kwenye mchakato

    hiiii
  13. linyaku

    JamiiForums Tanzania Nahitaji billboards kama hiii

    Mwenye anajua inapatikana wapi
  14. linyaku

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kutafuta simu iliyoibwa

    Watu wanabadili imei konk
Back
Top Bottom