Recent content by linux1

  1. L

    Natokwa na usaha sehemu za siri!

    Tumia oxfloxacin
  2. L

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Tunahitaji vitendo cyo ngonjera ,watz wamezoea wadanganye kwa maneno mengi ndiyo waamini,mabadiliko hayazuiliki.
  3. L

    Tungekuwa na viongozi wanaoweza kuwajibika,TZ ingekuwa mbele sana

    Ndugu zangu tungeweza kuwa na viongozi wa kweli na wenye uchungu na nchi hii tungekuwa mbali kimaendeleo. Hebu tuangalie mfano wa wenzetu,mkurugenzi mkuu wa BBC amewajibika kwa kosa lisilo lake moja kwa moja, ili tu kuweka mbele masilahi ya Shirika na Taifa lake mbele,sio hapa kwetu watu...
  4. L

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

    labda wataleta madaktari kutoka china:A S confused::A S confused:
  5. L

    Mwigulu Nchemba: Bajeti inakataliwa na wapinzani kwa shinikizo la nchi za Magharibi!

    CCM inatapatapa imebaki kuzikwa 2015/2020.Mabadiliko ya kweli yatatokea through Movement for change na vjana ndiyo nguzo ya mabadiliko hayo.
  6. L

    Mpigania Uhuru na Mwasisi wa TAA, Dr. Vedastus Kyaruzi afariki dunia!

    je waasisi wengine wa chama na wapigania uhuru wanaenziwa vipi.Au mpaka mauti ziwakute ndiyo serikali inajiweka kimbelembele.
Back
Top Bottom