Recent content by Linolino

  1. L

    JamiiForums Tanzania GE2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

    Kwa vile aliuzwa kwa baba mwingine anajua kila kitu rahisi kuuza
  2. L

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole live Channel Ten: Urais katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Jamani kaacheni Kapolepole kasake tonge, kwenye asasi kalishakoroga angalau kale kale, katamwomba msamaha Rais Lowasa Novemba mosi, LOWASSSSSSSSSSSSSSSSSa
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa CCM akamatwa akiandikisha namba za Vitambulisho vya wapiga kura

    Mi CCM inaudhi hivi alitegemea watu wajinga akija mtaani kwetu atapigwa zaidi ya kibaka
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa CCM akamatwa akiandikisha namba za Vitambulisho vya wapiga kura

    bao la mkono limeshawashinda,ttatizo bado wanatumia ule mfumo wao wa 2010
  5. L

    JamiiForums Tanzania Sakata la Richmond: Dr. Mwakyembe amkaanga Lowassa, Kumburuza Mahakamani...

    uMwakyembe mnafiki, mbona ulisema ungesema yote serikali ingebomoka, Je huyo Magufuli kauza nyumba ngapi za serkali, Hasara za kukurupuka ngapi, Magufuli hafai uraisi, Na Mwakyebe unajichora kamuulize sita na dili lenu la kumchafua Lowasa, Hatudanganyiki mwaka huu, na Kyela hatukutaki anza...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hii CV ya Mama Lwakatare ina maajabu yake, tusaidiane kuichambua tafadhari

    Jamani mwacheni mtumishi wa bwana, Mbona PhD ile ya Nchimbi ya Mzumbe hamkuhoji amesoma miaka mingapi? CCM mafisadi mpaka wa watoto wao wenyewe,angalia la miss tanzania,baba yupo tayari kudhalilisha mtoto
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Katiba Ubungo Plaza 16/11/2014, mtoa mada mkuu Jaji Warioba

    Mbona Mkinga alisha nunuliwa kitambo na mafisadi ya CCM,za kwanza walipitishia Voda, alijua milioni mia atakula mpaka afe, muda kidogo akatanga kuwa zimeisha, sasa hivi jina lake lipo kwenye payroll ya Lumumba
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar, Dk Shein amuonya na kumtaka Maalim Seif kuacha kuwagawa wananchi

    Shein polee, Utachezea Seif weweee , CCM Zanzibar kwaheri
  9. L

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa dawa wamng'oa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya!

    Mabomu yote, ila wape ulaji wa mwishomwisho Professor wa Kichina
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kikwete afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa: Mulongo ahamishiwa Mwanza; Masawe wa Kagera aondolewa!

    kikwete utapangua sana, lakini la kuchina halina dawa
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hivi SITTA Kapata wapi UKUU WA NCHI?!!!

    Sasa asiwe mkuu wakati Jakaya kakimbilia marekani
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ndalichako awa Profesa

    Hongera mama, achana na hao wanaotengeza GPA. Kuna siku Mungu atakujalia ufanye na watu wanaotaka elemu bora katika nchi hii.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini mitungi ya gesi isifanyiwe usafi kabla ya kujazwa tena?

    Kwanza mtumiaji ausafishe, wauzaji wasipokee mitungi michafu, na mnunuzi usipokee mtungi mchafu au ilichokaa sana kwa nje.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Diaspora washangaa Uhamiaji kuwapa uraia wageni, kunyima Watanzania

    Poleni, nasikia wengi hamna kadi za CCM ndio maana wamewapiga chini
  15. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kidini ambao ni Wajumbe wa Bunge la Katiba watoa Tamko kuhusu Bunge

    Hi kali, leo eti waislam na wakristo.Lakini haishangazi hata Yuda alimsaliti Yuda kwa hela vipande thelathini. Hawa jaamaa wanaogopa bunge likisitishwa watakosa hizo laki tatu. Lakini bora mkumbuke maisha yenu na vizazi vyenu vya mbele kuliko kufikiria hiyo laki tatu.
Back
Top Bottom