Recent content by linkoln1888

  1. L

    Utata ajira zinazotangazwa kupitia Sekretariate ya Ajira

    Soma maswali na majibu ya Sekretariati ya ajira, lile swali la 4, kipengele cha VI. Hata mimi ni mgeni na haya mambo, ninajifunza
  2. L

    Utata ajira zinazotangazwa kupitia Sekretariate ya Ajira

    Inategemeana na uelewa wa yule katibu wa usaili kutoka Sekretariati, kuna mwingine alimtimua msailiwa wakati alikuwa na namba ya NIDA
  3. L

    Utata ajira zinazotangazwa kupitia Sekretariate ya Ajira

    Ingia tu kwenye ajira portal jaribu kuomba, kama unakidhi vigezo itakubali kama siyo itakataa, japo nasikia huwa kuna jinsi wengine wanafanyaga ikakubali hata kama ameover qualify
  4. L

    Mwajiri kwenye Utumishi wa Umma atakubali cheti changu cha elimu ya juu nilichokificha

    anasaidikaje sasa ili atumike na apate maslahi yanayoendana na elimu yake?
  5. L

    Mwajiri kwenye Utumishi wa Umma atakubali cheti changu cha elimu ya juu nilichokificha

    MTU ANAHITAJI MSAADA WA MAWAZO, NA CASE YAKE NI KAMA ILIVYO HAPA Kama nilimaliza Degree yangu 2014, kisha mwaka 2016 nikasoma kozi ngazi ya cheti, na mwaka 2019 nikatumia elimu ngazi ya cheti kuomba kazi kupitia sekretariate ya Ajira, nikafaulu ule usaili na kupata kazi, na sasa nalipwa kama...
  6. L

    Utata ajira zinazotangazwa kupitia Sekretariate ya Ajira

    Wengine wanafanikiwa sana, mfano ukiangalia kwenye ile portal, utaona kwenye Academic qualification kuna option ya edit, na pale kwenye Transcript kuna option ya delete. watu wamefanya hivyo, lakini sina uhakka, huenda waliwasiliana na Sekretariati
  7. L

    Utata ajira zinazotangazwa kupitia Sekretariate ya Ajira

    Alijaribu hivyo lini? Kuna wengine zinakubali
  8. L

    Utata ajira zinazotangazwa kupitia Sekretariate ya Ajira

    Kuna jamaa angu fulani, imekuwa ngumu kwake maana alipo hapo kila mtu anajua aliingia na astashahada wakati ana degree, na kilichosababisha ni wenzake walioingia nae interview ndo alisoma nao certificate. Lakini suala ni kujifanya kama hujui ili goma liende
  9. L

    Utata ajira zinazotangazwa kupitia Sekretariate ya Ajira

    Hili ni wazo zuri, lakini wakifanya ufuatiliaji huko chuoni nilikosoma, itakuwaje?
  10. L

    Utata ajira zinazotangazwa kupitia Sekretariate ya Ajira

    Ahsante sana, maana hili jambo limekuwa kama vile lina usiri fulani kwenye utumishi wa umma na hasa kwa sisi tunaotegemea kujiunga na utumishi wa umma. Ahsante kwa kutupa uzoefu wako ndani ya utumishi wa umma
  11. L

    Utata ajira zinazotangazwa kupitia Sekretariate ya Ajira

    Recategorization ni kwa wale waliojiendeleza ndani ya utumishi kwenye fani tofauti na aliyoajiriwa nayo. Kinachoongelewa hapa ni suala la mtu mwenye degree na ziada ya certificate kutumia elimu ngazi ya cheti alichokipata baada ya kumaliza degree ili kuomba kazi inayotaka mtu mwenye Elimu ya...
  12. L

    Utata ajira zinazotangazwa kupitia Sekretariate ya Ajira

    Kwahiyo hapo inabidi aombe akasome degree tena upya akitumia cheti cha Diploma ili kukidhi matakwa ya kanuni za utumishi wa umma
  13. L

    Utata ajira zinazotangazwa kupitia Sekretariate ya Ajira

    Udanganyifu ni nini? kutoa taarifa za uongo ni nini? Kwenye kanuni za uendeshaji sekretariati ya ajira kifungu cha 37(1c), wanasheria tusaidieni, maana tusije ingia kwenye utumishi wa umma kimakosa
Back
Top Bottom