Issue sio EFD Machine, habari ya mjini ni mfumo mzima wa kodi ni kandamizi, kabla ya kucoment soma kwanza Tax act zote za Tax then njoo hapa tuongee kwa hoja.
Leo hii wanaopigania hili ni wafanya biashara lakini kesho beneficiaries watakuwa wote , wafanya kazi na biashara pia. P.A.Y.E kwa...
Ndio maana tunapenda hawa wataka Urais wajitokeze mapema ili tujue mazuri na mabaya yao, udhaifu na ujasiri wao mapema. Shime tufunguke wana wa Tanzania , hii ni kwa maslai ya Nchi yetu. Pamoja Tunaweza
Kazi kweli kweli, kama kila siku anafanya mazoezi? kulikuwa kuna sababu gani ya yeye kupigwa picha ili aonekane anafanya mazoezi? Bila shaka campain desk ya mzee iko very poor, wanafanya kazi na minon'gono pia wanamshauri vibaya.hakukuwa na sababu ya kufanya hicho walichofanya ili kuwaaminisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.