Recent content by lindu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

    Zitto kishapoteza mwelekeo anajiingiza matatizoni always! Mara anagombana na CDM kufika tu ACT anaongea ovyo ovyo tu! Kajiingiza kwenye bifu na Dr. Mengi kajimaliza!!!
  2. L

    JamiiForums Tanzania Gwajima apandishwa Mahakamani Kisutu; aachiwa kwa dhamana na kesi kupigwa kalenda!

    Hivi kweli Tz tumefikia kutumia pesa ya walipa kodi kwa mambo ya kijinga hivi? Mbona mashtaka yenyewe dhaifu sana?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbeya: Zaidi ya watu 23 wafariki kwenye ajali iliyohusisha Hiace

    Kila mmoja kwa imani yake tuombe Mungu atuepushe na hili janga la ajali maana sass inaogofya sana Mungu azilaze roho za marehemu wote mahala pema peponi Amen!
Back
Top Bottom