Recent content by Linda Yusufu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta namba za simu za bajaji, tax na pikipiki mikoa yote ya Tanzania

    thanks kwa ushauri nitalifanyia kazi
  2. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta namba za simu za bajaji, tax na pikipiki mikoa yote ya Tanzania

    una uwakika gani kama mimi natumia jina la bandia
  3. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta namba za simu za bajaji, tax na pikipiki mikoa yote ya Tanzania

    Habari, naomba nisaidie waungwana nimepewa kazi nitafute kila mkoa namba za simu za bajaji, pikipiki na tax majina ya huyo dereva na anapopaki. Dhumuni la kufanya hivi ni tukiwa na wateja wetu wanaokuja mikoani tufanye biashara tutakuwa tunawasiliana unawachukua na kuwapeleka sehemu mbalimbali...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    habari kuna mfanyakazi mwenzangu anafanya iyo folex ila mie sielewi hata kidogo but nataka kujua na kujaribu . plz nipe mwongozo
  5. L

    JamiiForums Tanzania Habari Natafuta kazi ya travel consultant.

    i have experience for Two years Certificate Diplomar in IATA/UFTAA Galileo Amadeus British council Sysytem Galileo Amadeus Crane
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wajuzi kwenye biashara ya mazao

    naomba uni dm kuhusu hii ishu nataka nianze kufanya
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Nataman kujiajiri mwenyewe..je mtaj wa 5 naweza kujiajir na biashara gani wana jf.?..naomben mawazo yenu kama mdogo wenu na ntayafanyia kaz mana naamin naweza .Wazoefu wa biashara naombeni mawazo yenu naamin wote humu ni magrt thnker's ..Ahsante
Back
Top Bottom