Recent content by liname

  1. L

    JamiiForums Tanzania Usikurupuke wala Usitangulize Mihemuko

    Mm naona ingekuw vyema kabla ya ndoa wahusika wakuu waingie kwny dini zao wafundishwe somo la ndoa kwa mwaka mzima ndio jambo ndoa lifanyik. Hii itapunguz vilio na mmomonyoko wa ndoa za kileo
  2. L

    JamiiForums Tanzania EX wangu aliniacha na kukimbilia kwa jamaa kisa jamaa ana pesa nyingi. Mimi ndiyo nilimtoa Kijijini

    Duh ila kumbuken na nyiny wanaume mnamambo meusi maana wengi wenu mkithaminiwa mnajiona mnawez kufany llte nakuwadharau wanawak waliowavumilia
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nimempa hela jana tu, niko mbali umeme umeisha nimemwambia aweke anadai nitamlipa hela yake

    Moto mkali ndio maana unaunguza ya mwanzo
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mnaoishi na wenza mnawezaje kuvumilia mapungufu yao?

    Kama unatatz lakunenepa hovyo diet inakufaa ila vyakula vikiwa na viungo vya asili na mafuta madogo haviongez mwili kwahy usijinyime San chakula
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kufurahia mapenzi, oa mwanamke asiye na kazi

    Mbona na nyie wanaume hamjali wanawake kipind wanaumwa iweje nyie mtendew kila kitu
  6. L

    JamiiForums Tanzania Unapomvua nguo binti mrembo na kukuta mwili wake una chale kibao huwa unapata picha gani?

    Wandele ndio wanatokea mkoa gan
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ni yupi mwanamke mwenye nafuu kati ya hawa wawili?

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umeona eeehhh
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ni yupi mwanamke mwenye nafuu kati ya hawa wawili?

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] ukorofi ukizid mwanaum anakimbia Nyumba kila kitu fanya kwa kipimo
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ni yupi mwanamke mwenye nafuu kati ya hawa wawili?

    Hahahaaaa wakorofi wanasema hamko romantik
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Duh pole sana kaka hakika sisi wanawake baadhi yetu tunaroho mbaya hivi unaujasir upi kubeba mimba nje na kumsingizia mume nabado kujarb kutoa uhai wa mtoto kwel anastahil adhabu ya kifo
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini sasa juu ya haya mapenzi?

    Hapo ndio tunapofeli hatuish kiuhalisia nawengi huficha mapungufu yao kwa act tabia zawengin binafc sipend fake life nibora anaekuja kwaajili ya kunipenda atambue vitu vitatu. 1. Mm nibinadam hivyo asinifananishe na malaika au mpenz wake alieachan nae. 2. Aheshimu maisha yangu iwe namtoto au...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini sasa juu ya haya mapenzi?

    Nikwel nimuhim uish kulingan na wakati uliopo uangalie vipaumbele muhim kweny maisha yako focus kuvipata
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

    Duh pole sana maisha ndivyo yalivyo utampata right person
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

    Huenda aliumia sana nahakuona unaafuu wa maumiv ikambidi aanze uhusiano mwingine
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

    Duh asee unamoyo sana mm mtu akionesh dalil nisizozielew nawah kujiengua nakufuta Namba yake
Back
Top Bottom