Mimi ni kijana ninayeishi ubungo dsm.Nimehitimu chuo kikuu miaka kadhaa nyuma katika moja ya vyuo vikuu hapa hapa nchini.Muda mrefu nimekuwa nikivutiwa na kupenda sana kufanya kazi kwenye radio kwa kuwa navutiwa sana na vipindi vya masuala ya kijamii.
Kwa kutimiza kiu yangu nikatafuta nafasi ya...
Mimi ni kijana, naishi Dar,nina digrii nataka kuanzisha biashara ya vitafunwa vya asili yaan mihogo, magimbi, viazi, ndizi n.k vya kuchemsha tu.
Tatizo ni mtaji wa kuanzisha biashara.
Natafuta mtu wa ku share naye ili biashara ifanyike. Naamini kupitia jukwaa hili atapatkana hata ushauri ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.