Kibaya ni kwamba, katika mazungumzo ya watu wawili uwa kila mmoja anakuwa na uelewa wake.
Unaweza mwambia mwenzio mambo akajibu marahaba, hapo tayari amjaelewana
Na wengi ni waoga wa kipokea ukweli.
Na wengine ni waoga wa kuzungumza makosa waliyotenda nyuma
Kumbukeni nanyi ni maex wa watu wengine, aijalishi akuna kinachoonekana (mtoto) maana mlitoa sana mimba.
Wengine ni baba wa watoto zaidi ya wanne marehemu.
Wengine mnao mpka 10 ila amuwafahamu maana mlikataa mimba.
Wekeni akiba ya maneno
Kuwa single mother sio dhambi kuliko kuwa baba muhoga wa...
Hahaaaa nimecheka kwel [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Naomba nikanushe hapa umri sio kikwazo kikubwaaa Bari ni upana wa fikra tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.