---- kweli. Hao ndio wanatuvunja moyo hakika. Lakini CDM walisema hilo suala wameliweka vizuri kwa hiyo tusubiri hatua zitakazochukuliwa na CDM ama CUF
Naapa mbele za Mungu, Lowasa asipochaguliwa kugombea urais CCM inakufa rasi. siwezi kuwa sehemu ya kuwapitisha watu wasio na uwezo kazi kuwaza tu madawa ya kulevya kama dogo kipara na wengineo. Sisi tumejiandaa na Lowasa otherwise RIP CCM my stupid party with less convicing ideologies. Nyie...
Unajua watu wengine ni w.a.s.e.n.g.e sana particularly watu wa Lumumba. Inakuwaje mvua inanyesha Arusha wewe unaanguka kwa utelezi Mtwara kama sio unafiki ni nini. Waacheni watu wa CDM wajichagulie kiongozi wao na sio kuwaingilia. Sijui mtakuwa na akili lini enyi wakeketwa wa CCM. Kama mnaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.