Recent content by lilraq12345

  1. L

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa mafuta gari ndogo

    Hii gari ya 4 ractis new model Ya kwanza ractis 0ld ya pili ist ya tatu vitz hii nilonayo ni ractis new model saiv si kwamba naongea sina gari au sikkumiliki gari zote hizo
  2. L

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa mafuta gari ndogo

    Shukran bro kwa mira hapana kimuonekano sijaipenda ila engine ndogo niliamini hivo pia vitz niliyonunua ilikuwa 990cc lakini nikapata kitu kilele ist ilikuwa 1490cc na ractis the same 1490cc ila zaidi nitatafta hela sisi tusokuwa na hela huwa tuna budget mpaka ya mafuta kwa mwezi
  3. L

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa mafuta gari ndogo

    Issue sio kutafuta hela mkuu hakuna aloanza akawa na hela mm ni kijana sijafika hata 29 hizo hela napata wapi kama ww umepewa au za famalia au umejipata unazo kausha mi nafanya research kuna umuhimu wa kumiliki gari ndogo kama ulaji sawa na hizo zako ww mwenye hela ndo point mi nilitegema...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa mafuta gari ndogo

    Nitajaribu ila wanasema hizi hybrid mafundi tatizo
  5. L

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa mafuta gari ndogo

    Zote hizo nafanya services kila baada ya km 5000 na oil ninayotumia huwa natumia total 5w30
  6. L

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa mafuta gari ndogo

    Gari nyingi kama 1st, vitz ,ractis na gari zingine ndogo Kiupande wangu gari ndogo nimeendesha na kumiliki kama tatu ractis vits na ist kwa kipindi tofauti ila utofauti na watu wanavosema hazinywi mafuta au kama google wanavosema au madalali wanavouza gari wanavozisifia zinatembea mpaka km...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Branch office or subsidiary company

    Bado sijaelewa ku scale nifafanulie zaid
  8. L

    JamiiForums Tanzania Branch office or subsidiary company

    Nomba kufahamu kwa mwwnye uelewa
  9. L

    JamiiForums Tanzania Branch office or subsidiary company

    Ili biashara ikue na kuingiza kipato zaidi ni bora kufungua branch au kuanza kwa Jina lingine
  10. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya ulaji wa mafuta wa hii Toyota IST

    Kama Kuna mtu pia ana ist yenye hii AWD anipe mrejesho yake ipoje kwenye unywaji wa mafuta
  11. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya ulaji wa mafuta wa hii Toyota IST

    Nafkiri pia Kuna gari zinakuja nyingi na km hizi hizi wengi zinardishwa km ila pia zipo zinazokuja na km nyingi still ulaji wa mafuta ni WA chini au kwasababu ya hii AWD kuzungusha matairi yote manne
  12. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya ulaji wa mafuta wa hii Toyota IST

    Oil ni Castro Ila sijui namba ngapi najua Jina Ila majaribio nishafanya zaidi ya mara moja ulaji the same mpaka nimewaza kuiuza
  13. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya ulaji wa mafuta wa hii Toyota IST

    Manake mi nashangaa naona zinasifiwa ulaji wake nami ndo ist ya kwanza au hizo zingine zikoje
  14. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya ulaji wa mafuta wa hii Toyota IST

    NCP65 1490cc Model 2005 AWD Full tank inatembea maximum 370km to 350km Huwa nawasha A.C sio mda wote mara moja moja na nishafanya majaribio zaidi ya maratatu swali langu linakuja ni normal ulaji huo au Kuna tatizo dashboard inajionuesha Kila kitu gari Haina tatizo lolote lingine services nafanya...
Back
Top Bottom