Pole mami, Mungu akupatie Neema ya kuweza kumsamehe baba yako na mjomba wako.
Usijutie dhambi kwani Mungu wetu ni wa rehema na upendo.jioni ya leo nitakuombea.
Hakuna haja ya kukimbia mami. Mawanamke atamlinda mume wake kwa maombi.Kaa kwenye nafasi yako kama mke tetea kiti chako cha mke kwa kumuombea mume wako. kwa Jina la Yesu ukisimama sawa sawa atabadirika. unasimama kimaombi huku ukitimiza wajibu wako kama mke. kwa kumpatia mume wako huduma zote na...
Habari wana janvi,
Natafuta mteja wa kununua miti pamoja na ardhi
Miti ipo Njombe aina ya PINE
Ni heka 5
Bei 15,000,000
Miti ina miaka 6
Mawasiliano 0755238761
Habari wana janvi,
Natafuta wateja wa kununua miti pamoja na Ardhi.
Miti ni aina ya PINE na ni heka 5
Inapatika mkoani Njombe
Bei 15,000,000 kwa heka zote 5.
Miti ina mwiaka sita (6 years).
Mawasiliano 0755238761
Habari wanajamii,
Nauza miti heka 5 pamoja na shamba aridhi iko njombe bei 15,000,000 miti ina mwika 6 ni mikubwa na mizuri kwa mawasiliano 0755238761.pia nina mashamba mengine mengi tu ya miti iliyo tayari kwa kupasua mbao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.