Recent content by LillianBucho

  1. LillianBucho

    Natafuta Kazi/Volunteer

    Asante sana skidemout nilikuwa namaanisha popote tanzania sio nje ya tanzania. Thanks again.
  2. LillianBucho

    Kama wewe ni graduate soma hii

    Wazo zuri sana. Mimi nimesomea project management. Itakuwa poa.
  3. LillianBucho

    Natafuta Kazi/Volunteer

    Nina masters ya community development na project management natafuta kazi/volunteering nisaidieni. Niko tayari kufanya kazi popote. Niligraduate mwaka jana mwezi 11. Help...!
  4. LillianBucho

    Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Ni kweli kaka. Mimi nina masters niligraduate mwaka jana ila mpaka sasa bado niko mtaani natafuta ajira sipati ajira wala volunteering nimekosa nazunguka tu.
Back
Top Bottom