Recent content by Lilambalyakwilole

  1. Lilambalyakwilole

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

    Wewe kama ulitelekezwa ba Wewe unahasira za kutelekezwa
  2. Lilambalyakwilole

    JamiiForums Tanzania Serikali isitishe mishahara kwa watumishi waliorudi masomoni ni upotevu wa pesa tena wengine wanahama fani kabisa

    Haya ni mawazo ya kishetani sio kikomunist, wakonmunist wanasomesha sana wataalam wao tena abroad, ila kwa maslahi ya taifa
  3. Lilambalyakwilole

    JamiiForums Tanzania Kero za kudate mume wa mtu

    Upo kama mimi
  4. Lilambalyakwilole

    JamiiForums Tanzania Serikali isitishe mishahara kwa watumishi waliorudi masomoni ni upotevu wa pesa tena wengine wanahama fani kabisa

    Acha roho mbaya, tena kama hujui SERIKALI inatakiwa kumsomesha, yaani kulipia ada na accomodations
  5. Lilambalyakwilole

    JamiiForums Tanzania MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'

    Kufunga biashara haitoshi, watu waingie barabarani
  6. Lilambalyakwilole

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Umenikumbusha Kwa brother y, kitambo sana, hadi sasa kiwanja kipo?
  7. Lilambalyakwilole

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu anazo sifa za kuwa Rais wa Tanzania?

    Hana sifa, anafaa kuwa mwanaharakati, angalau awe mbunge kwaajili ya kuichachafya serikali. Hata uwaziri tu hana sifa.
  8. Lilambalyakwilole

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

    😂😂😂 Labda alimaanisha shahada ya kwanza
  9. Lilambalyakwilole

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

    Nakuhakikishia mbinu wanayotaka kutumia chadema itawaghalimu, wanalamba matapishi Yao, wangebaki kwenye hoja kuu na msimamo wao wanaouamini. Sio hii ya kuwa kigeugeu, nasikitika kuwa bado hatuna upinzani imara, Hawa wanaangalia upepo unakoelekea, hawatafaulu kamwe, wanajichimbia shimo
  10. Lilambalyakwilole

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

    Lisu hana credibility ya kutumia jina la magufuli, Tena nashauri wanachato, akija huyu jamaa pigeni mawe mnafiki mkubwa huyu. Anatumia jina la magufuli kuungwa mkono, wakati alimkashifu na kumtukana hadharani. Ni kweli serikali ya sasa inafanya madudu lakini amwache magufuli apumzike, aache...
  11. Lilambalyakwilole

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

    Aache unafiki huyu jamaa, asitumie jina la magufu kupata uugwaji mkono, amwache magufuli apumzike, alimpinga na kumtukana hadharani Leo analeta unafiki. Hapo amechemka. Kweli upinzani hatuna, ndio maana magufuli hakutaka mbwatuke, kwasasabu hamna hoja.
  12. Lilambalyakwilole

    JamiiForums Tanzania Zembwela: Elimu ya Sheria si makalio eti kila mtu awe nayo

    Huyu naye sijui amekula maharage ya wapi, acheni uchawa, sasa ulienda kule kufanya nini kama unajijua kuwa wewe ni empty, hili nalo likaangaliwe
  13. Lilambalyakwilole

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukua nimejifunza yafuatayo kuhusu siasa za Tanzania

    Kwahiyo hao uliowataja watachaguliwa na wanafunzi?
  14. Lilambalyakwilole

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukua nimejifunza yafuatayo kuhusu siasa za Tanzania

    Unatumia mihemuko kufikiri sio logic, watachaguliwa na wananchi kupitia platform gani? Je wewe umewahi kutokuwa mpenzi au shabiki wa chama hata kwa dakika moja?
Back
Top Bottom