Recent content by lil wayne

  1. lil wayne

    Rasmi: Donald Ngoma ametua Azam Fc

    Mgomo unaotokana na nini hasa? Malipo yake au? Na viongozi wamechangiaje kwenye hili kama asemavyo sibonike?
  2. lil wayne

    Rasmi: Donald Ngoma ametua Azam Fc

    Ila kutokuwapo kwakwe pia kunachangiwa na majeraha! By the way....kwann aligoma?
  3. lil wayne

    Rasmi: Donald Ngoma ametua Azam Fc

    Jamaa ni Injury prone kama alivyo Kapombe....Yanga wanaakili sana kumuacha.
  4. lil wayne

    Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

    Hakuna timu humo....Hiko kikosi ni kama kile cha Brazil kilichopigwa 7.
  5. lil wayne

    Kutoka Uwanja wa Taifa: Kagera Sugar 1 - 0 Simba FC, Kagera watibua rekodi ya kutokufungwa ya Simba

    Ni kweli Aisee. Maana tangu mwaka 1935 kipindi Yanga anakusanya Makombe ya VPL walisaidiwa na Manji na Malinzi.
  6. lil wayne

    Forex Trade: Jipatie MK45Strategy bure kabisa.

    Naona uzi wangu ulifutwa bila sababu ya msingi. Ebu pakua mzigo huo wa mk45strategy for free. Link:
  7. lil wayne

    Forex Trade: Jipatie Strategy iitwayo MK45STRATEGY bure bila malipo.

    Hahahaha hebu download upya hiyo Indicator mzee baba! Mbona kama wewe pekeyako walalamika kati ya watu wote 30 walio download mpaka sasa.
  8. lil wayne

    Forex Trade: Jipatie Strategy iitwayo MK45STRATEGY bure bila malipo.

    Yapasa ie simple ili uweze kuona hata Price Action.
  9. lil wayne

    Forex Trade: Jipatie Strategy iitwayo MK45STRATEGY bure bila malipo.

    Hahaha una tatizo gan mzee....mbona hiyo uliyopakua haina flowers/YellowLine....?
  10. lil wayne

    Forex Trade: Jipatie Strategy iitwayo MK45STRATEGY bure bila malipo.

    Mbona kama una mshawasha mshawasha hivi... Si umeona palivyokuwa kimya hapa, watu wanapakua na kisepa na mzigo.... Endelea kung'aza macho hapo hapo.
  11. lil wayne

    Forex Trade: Jipatie Strategy iitwayo MK45STRATEGY bure bila malipo.

    Hadi mtoto wako wa kike akija kuchumbuwa utaanza kumuita Tapeli yule mwanaume anayemchumbia.....hahahaha
Back
Top Bottom