Haya ndiyo asiyoyapenda kabisa Rais Magufuli kuyaona wala kuyasikia

Nilijua tuu lazima wa kione cha mtema kuni nilifurahi sana mtu mwenyewe yupo tuu unaenda mwalika sehemu ambayo hajui tofauti ya goli na golikipa..........

I like it
 
Kuna lipi ambalo tumeweza kufanya vizuri kama Taifa? Tuanzie hapo
yapo mengi tu tumeweza kutoa elimu ya juu kwa watoto wengi zaidi zamani tulikuwa na chuo kikuu kimoja tu lakini sasa tuna zaidi ya 26 hiyo ni hatua kubwa sana tu.
 
yapo mengi tu tumeweza kutoa elimu ya juu kwa watoto wengi zaidi zamani tulikuwa na chuo kikuu kimoja tu lakini sasa tuna zaidi ya 26 hiyo ni hatua kubwa sana tu.
Kama mtu aandaavyo koo lake anapotaka kujibu hoja ndio inapasa uandae ubongo kunijibu.
1. Zamani ni lini?
2. Hiyo zamani tulikuwa wangapi na sasa tupo wangapi?
3. Kama mafanikio ya Tanzania kwenye soka umeyapima kwa kuwashindanisha na Mali uwanjani, haya unayoyaita Mafanikio ya Tanzania kwa Elimu ya watu wengi, umeyapima kwa kushindanisha na nani?

Wakati unaungaunga na kuokoteza majibu, usisahau vituo na herufi kubwa...ELIMU YA JUU HAITOLEWI KWA WATOTO.
 
TFF kateni rufaa wale Mali sio under 20 trust me..Habib Kiyombo kapigwa pini Taifa hata hakuweza kufurukuta
 
JPM.
tapatalk_1526762340497.jpeg
 
TFF kateni rufaa wale Mali sio under 20 trust me..Habib Kiyombo kapigwa pini Taifa hata hakuweza kufurukuta
haisaidii lamsingi ni kuweka mikakati ya kupata vijana bora zaidi na kuwapa mafunzo bora zaidi ili waweze kushinda...rasilimali fedha na wataalam ni muhimu sana
 
haisaidii lamsingi ni kuweka mikakati ya kupata vijana bora zaidi na kuwapa mafunzo bora zaidi ili waweze kushinda...rasilimali fedha na wataalam ni muhimu sana
Miaka iliyopita timu za West Africa zilikuwa zinachukuwa sana under 20 na under 17 world cup..toka waanze kuwapima umesikia wanachukua kila mara...watoto wa miaka chini 20 hawawezi kuwa na sura zile....
 
wewe ukikaza na miaka tu wakati hauna mkakati wowote wa kufanya timu zako zishinde haisaidii hata chembe
 
Huyu JPM mnamlaumu bure tu huku wala hayamuhusu.....haya matokeo ni shida kwa kila mtanzania anayependa mpira.
 
Back
Top Bottom