Recent content by Likundumbwii

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye mtoto

    Kweli kaka nimemueleza tuwe pamoja ama la ntapenda nimfungulie biashara imsaidie binafs na mtoto kwanza, nikampa nafas achague biashara amechagua awe anauza mkaa mtaani kwao nimempa mda awaze na biashara nyingine
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye mtoto

    Asante sana Mr.wenger
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye mtoto

    Kwanin ndugu?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye mtoto

    Pamoja ndugu
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye mtoto

    Asante sana ndugu.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye mtoto

    Habari zenu hapa wandugu kwa wakubwa na Wadogo. Wandugu nimekuja hapa naomba ushauri kwa huyu binti ambae nimetokea kumpenda na kuwaza Kuishi Nae. Ni binti wa Makamo ambae aliachishwa kuendelea na chuo cha uwalimu wa Prmary kutokana na kupatiwa ujauzito na kijana mmoja ambae nae alikua katika...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Action
Back
Top Bottom