Recent content by likoko ligubike

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kama watumishi wa Halmashauri wanapewa mikopo isiyo na riba, kwanini watumishi wengine wenye hali ngumu kama walimu wasiwekwe kwenye mpango huo?

    Mi Taarifa hutolewa kwa wote, na mkopo wa hazina ni haki ya watumishi wote wakiwemo walimu
  2. L

    JamiiForums Tanzania TCU ya Wizara ya Elimu unapofuta KOZI kwenye Vyuo Vikuu, toa sababu , Jamii izipime kama Zina mantiki au Uhuni tu wa Siasa dhidi ya KANISA !!

    Hapana tusihusishe na siasa kwa jambo hilo, pitia kwanza sera mpya ya elimu ya sasa inamajibu ya kinachoendelea ktk vyuo kwa sasa
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuhamia Tanga

    Kama unaweza kilimo uje wilaya za Kilindi au Handeni, baada ya miaka 3 nauhakika utakua kutoa ushuhuda juu ya mafanikio hapa
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kuchagua comb kidato cha kwanza

    Mtaala mpya unamtaka mtoto achague mwenyeww wap anataka kuelekea kutokana na ndoto zake huko mbeleni, hivyo basi amepewa nafasi ya kuchagua asome masomo ya sayansi au sanaa(masomo yasipungue 8 na yasizid 10), angalia nia ya mtoto au hata wewe unataka awe nani huko mbeleni halafu mchagulie cha...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Benki Kuu (BoT) kwa kupunguza riba za mikopo kwa watu binafsi na watumishi wa umma.

    Acha uongo kilichopunguzwa ni makato ya kutuma fedha kutoka bank kwenda mitandao ya simu na kutoka mitandao ya simu kwenda bank
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    KWanza pole, pili hongera kwa kuwa na mtaji, tatu shukuru Mungu hapo ulipo, tuliza kichwa, make a reseach angalia unachoweza kufanya( biashara) kwa kuanza weka hata m 25, then angalia trends ya biashara ,ukiisimamia vizur utapata muelekeo wa kuiboresha, ukishakaa stable angalia kati ya sehemu...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    1.Tumia akili utamuelewa, 2.Kama vp na ww uanze kukaa ndani ili uoendeze na ushobokewe, 3.ww mtoto wa kiume
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Shule ya Msingi Nakayaya asimamishwa kuwa Mkuu wa shule hiyo bila sababu yoyote ya Msingi.Inaelezwa kuwa migogoro binafsi

    Je mwalimu mkuu anafahamu mamlaka yake ya uteuzi na utenguzi? Y Hata mimi ningemtoa kwasababu hajitambui, inakuaje hajui mamlaka yake ya uteuzi? Hao ndo wenye mamlaka ya kumuondoa
  9. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya Kigamboni inakata pesa ya TALGWU bila idhini ya mwajiriwa

    Sheria ya kazi na mahusiano kazini, inakutaka uwe na chama, kama hujajaza form maana yake si mwanachama ila sheria inakutaka ukatwe pesa ya kuchangia ktk chama cha wafanyakzi, muhimu kwako kachukue fomu ili uwe mwanachama halali uwwze kupata haki zako kama mwanachama, kwani kutojaza fomu...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira sio walimu pekee

    Nikwel kuna shule zina walimu wawil, ila kama serikali itaajiri kwa 100% basi tuwe tayar kutofanya maendeleo ya aina yoyte ile kwan UCHUMI wetu hauruhusu kuajir watumishi kwa kiwango hicho
  11. L

    JamiiForums Tanzania ZBC ni ya serikali au ya Dini ya kiislamu

    Nadhani unayozungumzia ni ZBC 2, ipo chini ya Azam media,ila ZBC ni ya serikal na haina maudhui hayo
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakatoliki wanamuomba Mungu awajalie moyo wa ufukara na siyo ya utajiri kama vile Mungu alivyosema atatubariki?

    Haimaanishi hivyo Muombe Mungu akupe akili ya kulitafakar na kulijua neno laMungu ( Moyo wa ufukara, moyo usio na tamaa, moyo wa kuwapenda wengine, moyo usio na ubinafsi, moyo wa kujitolea kwa ajili ya wengne)
  13. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Kwanini mnatuandikisha majina ya mpiga kura na hamtoi vitambulisho wala kuchukua picha ya anayejiandikisha?

    Zoezi linaloendelea ni kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa/kijiji, zoezi hili linahusisha wakazi wa eneo husika tu, lengo ni kwa ajili ya UCHAGUZI WA VIONGOZI ( mwenyekiti wa mtaa au kijiji pamoja na vitingoji hapo tar 27.11.2024) Zoezi hili ni tofauti na lile la uandikishwaji kwa ajili...
Back
Top Bottom