Recent content by Likey29

  1. Likey29

    JamiiForums Tanzania Fundi mzuri wa gari za nissan

    Wakuu naombeni mwenye fundi mzuri wa gari za nissan wa uhakika, gari yangu ni nissan cube. vipengele: inachemsha inachoma coil (nimebadili mara mbili) inakosa nguvu (hai-accelerate) gari inavuta upande mmoja speed ikiongezeka Naomba msaada wenu wakuu.
  2. Likey29

    JamiiForums Tanzania Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana

    Nimecheka sana 🤣🤣
  3. Likey29

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pale binti anapoyachezea maisha na kuja kujuta mwishoni

    Retirement Plan 🤣🤣🤣
  4. Likey29

    JamiiForums Tanzania Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

    Kisheria nnavyo jua wana hukumu kuanzia nia hovu adi tukio, mfano mzuri wale wanao tishiwa maisha ikibainika basi mtishiaji ana ukumiwa, Tuje kwenye point yako, yaani kwa akili za kawaida mlipuke utokee katikati ya umati wa watu afu kusiwe na mahiti? Wapo waliokufa na wengine ni vilema wa...
Back
Top Bottom