Recent content by likandambwa

  1. likandambwa

    Msaada: Nimeachishwa kazi

    Kabisaa nimeitafuta nimekosa
  2. likandambwa

    Msaada: Nimeachishwa kazi

    Hata mi imenishangaza hii mkuu summary dismissal Ingawa ni kweli kwamba mwajiri anayo mamlaka ya kumwachisha mtumishi kaz at any time lakn lakn lakn lazma kuwe na sababu za kweli na kisheria Sasa mimi nimeambiwa tu kuwa nimekiuka maadili lakn kila nikiomba kuambiwa maadili gan nimekiuka...
  3. likandambwa

    Msaada: Nimeachishwa kazi

    Mkuu sjaelezwa missconduct gan Na wala hakuna kaz ambyo skuwahi kuitekeleza labda ktk kipindi nilichovunjika mkono wa kulia Mkuu mimi syo mi syo mlevi though bia nakunywa lakn ni mara chache tena kwa mda wangu binafsi na sehemu maalum Kuhusu mapenz bahat mby ht mpz wang hayupo mkoa naofanyia...
  4. likandambwa

    Msaada: Nimeachishwa kazi

    Mkuu siasa na mimi wapi na wapi ndugu yangu
  5. likandambwa

    Msaada: Nimeachishwa kazi

    Mkuu nimemwandikia hyo barua mwajiri na nimequote maeneo hayo ambayo naona yamekiukwa Hata hvyo unakaribia mwezi sasa sijajibiwa chochote
  6. likandambwa

    Msaada: Nimeachishwa kazi

    Mkuu niliomba appointment lakin mwajiri amenipuuza hadi sasa na sku zinaendA unakaribia mwezi sasa
  7. likandambwa

    Msaada: Nimeachishwa kazi

    Je nichukue hatua gan? Maelezo niliyotoa ni ukweli mtupu na sina sababu ya kuficha
  8. likandambwa

    Msaada: Nimeachishwa kazi

    Hata mimi nahisi hivyo mkuu na hata wafanyakaz wengne wanashangaa na wanamhsi msimamizi ndo kafanya hvyo maana wanasema ndo zake hasa ukizingatia nilikuwa kwenye kitengo cha karibu na yy kama msaidizi wa karibu katika masuala ya management Pamoja na hayo je nichukue hatua gan mkuu
  9. likandambwa

    Msaada: Nimeachishwa kazi

    Mkuu huo ndo mtiririko halisi wa jambo lilivyotokea Mkanganyiko unaouona ww nami nauona hvyohvyo ndo imeniacha mdomo wazi
  10. likandambwa

    Msaada: Nimeachishwa kazi

    Mkuu hakuna ubishoo hapa Nilivunjika mkono baada ya kupata ajali ya bodaboda wakati narud nyumbani kutoka kazini ambapo dreva aliongia mtaron nikarushwa Nikaletwa dsm kwa ajili ya matibabu baada ya kupewa rufaa Baada ya kufanyiwa opereshen nikapewa E.D ya wiki nne na ukizingatia mkono...
  11. likandambwa

    Vifaa kama BVR vyanaswa vikiandikisha Dar

    Duhhhhhhh bao la mkono
  12. likandambwa

    Msaada: Nimeachishwa kazi

    Kama taasisi gani mkuu tueleweshane nahitaji msaada kweli
  13. likandambwa

    Msaada: Nimeachishwa kazi

    Mkuu kiukweli nimeambiwa tu ni MISSCONDUCT though sjui ni missconduct gan Na wala barua haijaeleza kama sijaridhika nifanye nn Ni kwamba nimeambiwa tu nalipwa mshahara wa mwezi mmoja badala ya notice Kuhusu suala la chama cha wafanyakazi to be honest.. Nilikuwa sijajiunga bado
Back
Top Bottom