Recent content by lijenga

  1. L

    JamiiForums Tanzania Precision Air yaamua kuendelea na safari baada ya kioo cha ndege kupata ufa leo hii Zanzibar!!

    Nadhani tunakurupuka tu kuandika vitu, hata kuuliza hatutaki tunadhani daima tuko sahihi. Ndege "mnyama" anawezaje kugonga aircraft na ikapata ufa! tatizo kubwa kwa ndege warukao kwa ndege za abiria ni mizogo yao kuingia katika injini za ndege (turbo engine) na si hizi za mapanga boyi. Lakini...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Dr. Mwakyembe huyu ndio mkurugenzi wako

    Kweli tuache kuwa na double standard, vingine vinashabikiwa na vingine vinafanana watu wanasema ni majungu! Kama ni majungu yaacheni tu yatapita kwa nini yapigiwe kelele?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Joyce Ndalichako: Clouds FM ilimpa promo kijana aliyendika matusi kwenye mtihani wa Kidato cha Nne

    Kama media na wanahabari wanaozingatia professionalism, ni vizuri kufikiria kwa kina zaidi tunapotaka kuandika habari au kurusha hewani. Kuna kitu kinaitwa responsible journalism, kwamba unawajibika kwa taarifa inayoitoa kwa public. kwa maana nyingine, unahitaji kufikiria vingi juu ya impact ya...
Back
Top Bottom