Kama huwezi kusema sana ni bora ukae kimya usije ukasababisha baba wa watu avuliwe nguo hadharani.
Huyu mtu namfahamu mpaka anahama Mtwara hajawahi kumiliki hata kiwanja ghafla akaja kuibuka na ghorofa pale Kigamboni na mbaya zaidi usimamizi wa ghorofa lile umefanywa na H PMU wake Mr.Jovinus...
Mheshimiwa waziri Mhagama , kwanza nikupongeze kwa jitihada zako za kuujenga na kuuendeleza utumishi wa umma Tanzania. Natambua wewe ni mwanamama shupavu ndio maana Rais wetu ameendelea kukuamini.
Nikiwa kama mdau mkubwa wa utumishi wa umma naomba kuelekeza kwako kilio change cha kukuomba...
inatia huruma sana kwa wastaafu wetu, halafu wizara ya utumishi imewatupa hakuna mtu anaewajali watu hawa muhimu. Mafunzo ya kustaafu yanatakiwa kuanza mapema sana walau miaka kumi kabla ya kusaafu ili mtu ajipange na kujifunza mambo mbalimbali. Mungu awasaidie wazee wetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.