Recent content by Lihakambo

  1. L

    Hivi huyu mtoto wa Clouds Tv Kijakazi anajielewa kweli ?

    Nyie ambao hamumfahamu mtafuteni kwnye mtandao wa Instagram anajiita kijahyunus mtamuona vizuri naona km hiyo picha haimuonyeshi vizuri
  2. L

    Hivi huyu mtoto wa Clouds Tv Kijakazi anajielewa kweli ?

    Ndo tatizo lenu wabongo, hampendi challenge, mnapenda watu wasiojielewa, we ni lazima umeguswa na hoja zake, na inaonekana wazi humfahamu huyo dada, huyu ni journalist wa ukweli, by professional,we umeanza kumuona hapo, ameshafanya kazi kwenye media kubwa tu kama eatv na tbc, so anajua...
  3. L

    Hivi huyu mtoto wa Clouds Tv Kijakazi anajielewa kweli ?

    Mtasema saaaaana haters tu nyie mbona hamuachi kuangalia km anawaboa? Na ww uliyesema hana muonekano ndo unaonekana una wivu wa kimaendeleo kabisaaa maana kila mtu anajua mdada wa watu ni mzuri na ana muonrkano mzuri kwenye Tv
  4. L

    CLOUDS 360 kupitia CLOUDS TV ovyo

    Wewe mwnyw mtoa mada hujielewi, ss km hupendi kipindi chao bado unawafuatilia tuondolee unafiki wako hapa, tuletee hoja za maana acha kuleta uvyama
Back
Top Bottom