Fanya biashara ukiwa na mda , bila kulazimishwa au kusukumwa ukiwa na uber technology services .Ila ukiwa na gari ndogo isiyo tumia mafuta Sana , itakupafaida zaidi .
UBER TECHNOLOGY :inaendelea kutoa fulsa Kwa yeyote mwenye gari dogo lenye vigezo stahiki kujiunga nasi na hatimaye kuweza kuongeza kipato katika shughuli za kila siku.unaweza ukawa na gari na ukakakosa dereva basi tutakupatia dareva na kama ni dereva huna gari tuwasiliane pia . Karibu nyote...
Mkuu , kweli hujanielewa au unatafuta ushindi ,Kuwa na amani na Kuwa tayari kuelewa basi bila hivyo utatafuta kwenye dosari tuu na siyo kwenye matiki ya Jambo .Ila asante Kwa changamoto.
Asante and sory kama nimekukwaza. Mimi nadokeza uwepo wa hilo Jambo nikiwa miongoni mwa uber amberssador. Ila ndivyo ilivyo tafsili hutofautiana (defferent perception) karibun Sana.
Usalama wako uber ndio wana husika na wanaotumia network kuchunguza kila dereva anako enda na usalama wake .Hamna wasiwasi na Kuwa na imani Kabisa.asante Kwa kunielewa kujiunga nasi unaweza nicheki Kwa 0682059217 .Na nitakuelekeza namna ya kujiunga.
Yaani wewe ukijiunga kama dereva wa uber utapata nafasi ya kumuunganisha dereva mwenzako na hapo wewe utapatata tsh 450,000 pale tu ulie munganisha atafikisha Safari (ride)50. Pia hamna mashart makubwa cha msingi uwe na gari dogo lenye kiyoyozi na uwe na lesen za udereva hapo utakuwa umekamilika.
Zawadi Nono na ofa za kutosha Kwa madereva na watumiaji , ingia leo upate ofa yako. Sasa dereva wa uber Una weza para tsh 450000 pale tu utakapo munganisha dereva mwezako.kwa maelekezo zaidi unaweza nitaarifu Kwa namba 0682059217.
Faida unapata Sana mkuu ndio maana pesa hupokea mwenyewe Kwa abiria ana unaturejeshea ziada uliyoingiza kupitia app yetu 25% tu. Na pia kunakuwa na bonus zakutosha. Kwa hiyo karibu Sana mkuu ,unaweza kujiunga ukipendezwa unaendelea na kama haijakupendeza unaweza jitoa ,Ila ninaimani huwezi toka...
Tunakaribisha yeyote mwenye gari ndogo nzuri lenye kiyoyozi kuweza kufanya kazi nasi ,kama uber technology,tunatoa fulsa Kwa wafanya kazi wa na wafanya biashara kuongeza kipato ukiwa na gari yako ndogo .Jiunge nasi Leo Kwa mafanikio zaidi. Kwa maelekezo zaidi unaweza ni tafuta Kwa 0682059217.na...
Po
Oky Mr pole na Samahani kama ulikutana na usumbufu wa aina hyo Ila unaweza kutoa taarifa mda wowote kama umepata huduma isiyo kufurahisha. Pole na karibu Sana nduguyangu ni mapungufu ya kiubinadamu .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.