Recent content by LIGANGALEO

  1. L

    Toyota brevis inauzwa

    Mafuta inategemea na mizunguko yako mkuu
  2. L

    Toyota brevis inauzwa

    Wadau Nauza TOYOTA BREVIS pichani CC 2500 Mailage 99,654 Haijawahi kupata ajali yoyote Ipo Dar es Salaam Bei Ml.9.3 Mteja serious tuwasiliane kwa namba ya simu 0713 810801 Karibuni
  3. L

    Wadau, nimepunguza Bei ya Unfinished House hii

    Wadau Nimetoka Jimboni kufanya Survey ya jinsi ya kuzungukia Kata zote mwakani. Kwa kweli nahitaji Hard Top maana Kata zipo Milimani sana na ili kulitoa Gamba sina budi kuweka kambi na kuzungukia Kata zote. Na kwa kuwa nina utaalamu na magari, ni Hard Top tu ndio inayoweza kukamilisha azma...
  4. L

    Nimepunguza bei ya unfinished house hii

    Wadau Nimetoka Jimboni kufanya Survey ya jinsi ya kuzungukia Kata zote mwakani. Kwa kweli nahitaji Hard Top maana Kata zipo Milimani sana na ili kulitoa Gamba sina budi kuweka kambi na kuzungukia Kata zote. Na kwa kuwa nina utaalamu na magari, ni Hard Top tu ndio inayoweza kukamilisha azma...
  5. L

    Nimepunguza bei ya nyumba hii (unfinished house)

    Mkuu Obama wa Bongo hiyo picha yako imenivunja mbavu Anywway kukujibu swali lako ni kwamba mimi nauza ili nifanye projects nyingine zilizokwama. Hilo la kupangisha halimo kichwani Mkuu.
  6. L

    Nimepunguza bei ya nyumba hii (unfinished house)

    Wana JF Nimepunguza bei ya nyumba hii (Unfinished House).Nyumba ina Hati na ipo Madale, Dar es Salaam. Ramani ya Nyumba ni Ghorofa moja ikiwa na Lounge, Kitchen, Store, Lobby, Pantry na Chumba kimoja chini chenye choo na bafu ndani pamoja na Public Toilet ya kawaida hususani kwa wageni...
  7. L

    Nauza gari TOYOTA BREVIS

    Wana JF Nauza gari TOYOTA BREVIS hapa Dar nambaT 201 CTH. Rangi ni Pearl. Bei ni tsh ml.10.5. Kwa mhitaji serious namba yangu ni 0713 810803
  8. L

    Nauza nyumba kwa bei ya kutupa

    Wana JF Nimerudi tena kutangaza kuuza nyumba hii (Unfinished House kwa bei nafuu sana.Nyumba ina hati na ipo Madale. Ramani ya Nyumba ni Ghorofa moja ikiwa na Lounge, Kitchen, Store, Lobby, Pantry na Chumba kimoja chini chenye choo na bafu ndani pamoja na Public Toilet ya kawaida hususani kwa...
  9. L

    Msaada kwa mfanyabiashara yeyote aliye Dar es Salaam nitatoa asante ya Tsh milioni tatu cash

    Wana JF Kwa mlionishauri niende TIB Bank nimeenda leo pale Mlimani City. masharti ya kupata mkopo ni mengi na magumu kama ya World Bank kama si IMF. Kwa mlioniuliza kama Hati zina jina langu au za mtu mwingine jibu ni kwamba nyumba ni za kwangu na zote zina Hati yenye majina yangu. Si za kurithi...
  10. L

    Msaada kwa mfanyabiashara yeyote aliye Dar es Salaam nitatoa asante ya Tsh milioni tatu cash

    Wana JF Kwa mlionishauri niende TIB Bank dirisha la kilimo nimeenda leo. Mlolongo wa pale si wa kitoto. Masharti ni mengi zaidi ya ya World Bank kama si IMF.Kwa mliohoji kuhusu uhalali wa hati ni kwamba nyumba zote zina hati na Hati zipo kwa jina langu mimi mwenyewe na si jina la mtu mwingine...
  11. L

    Msaada kwa mfanyabiashara yeyote aliye Dar es Salaam nitatoa asante ya Tsh milioni tatu cash

    Namba ya simu ni 0767 87 60 86, nilisahau kuandika
  12. L

    Msaada kwa mfanyabiashara yeyote aliye Dar es Salaam nitatoa asante ya Tsh milioni tatu cash

    Wana JF Ninaishi Dar es Salaam. Nina ardhi ya kutosha Mpwapwa, Kongwa, Malinyi na Kilombero. Baada ya kufanya research ya kutosha, nimeamua niingie kwenye kilimo na ufugaji mkubwa wa kisasa ili kupunguza msongo wa kusubiria mshahara mwisho wa mwezi. Tractor nimeshaagiza Japan lipo njiani...
  13. L

  14. L

Back
Top Bottom