Recent content by LIFE PAIN GAIN

  1. LIFE PAIN GAIN

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh milioni 25 nifungue Hardware ndogo au duka la jumla la bidhaa za matumizi ya kila siku?

    Sure man ..somethings in life just happen..unaweza kuplan sanaa lakin utakachokipata haumfikii yule aliepanga kidogo..
  2. LIFE PAIN GAIN

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh milioni 25 nifungue Hardware ndogo au duka la jumla la bidhaa za matumizi ya kila siku?

    What are u trying to say boss, kwamba ni vizuri uifanyie dar coz mzunguko utakuwa mzuri?
  3. LIFE PAIN GAIN

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mtaji 26m Biashara ya Auto Parts, Lubricants & Spanners

    Wakuu hii ni kuhusu biashara ya spares za magari, spanners na lubricants zote. Ningependa kujua huo mtaji wa 26m utatosha nijizatiti vizuri? Je maeneo gani yanafaa kuweka biashara ya aina hii ili nipate mzunguko mzuri? Je hii ni idea nzuri au nitakuwa nimemwaga pesa ambapo sitapata return...
  4. LIFE PAIN GAIN

    JamiiForums Tanzania Auto Spares B'ness, ni spares zipi common unatakiwa kuwa nazo za magari madogo/makubwa

    Yes wakubwa, Kama kama kichwa kinavyojieleza, tusaidiane mawazo.
  5. LIFE PAIN GAIN

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nafikiria kufungua duka la Vitasa tu Arusha mjini

    Hii mishe kwa arusha italipa kweli..??
  6. LIFE PAIN GAIN

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nafikiria kufungua duka la Vitasa tu Arusha mjini

    Ahsante sana boss..umechukuwa muda wako kuelaborate..ubarikiwe mkuu
  7. LIFE PAIN GAIN

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nafikiria kufungua duka la Vitasa tu Arusha mjini

    Vp nikiongezea na bawaba za geti...Na rollers zake ..ni sawa eti??
  8. LIFE PAIN GAIN

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nafikiria kufungua duka la Vitasa tu Arusha mjini

    Ammmeeeeeen .. Umeniongezea faida tele mkuu Thankss
  9. LIFE PAIN GAIN

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nafikiria kufungua duka la Vitasa tu Arusha mjini

    Nafikiria pia niweke na bawaba na rollers za geti kabisa.. ni sideal na vya mlango wa mbao tu
  10. LIFE PAIN GAIN

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nafikiria kufungua duka la Vitasa tu Arusha mjini

    Ahsante mkuu hapo umenifumbua macho, Ubarikiwe kwa ushauri mkuu.
Back
Top Bottom