Recent content by LIFE DAUDI

  1. L

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

    Atachaguliwa vizur tu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

    Wanapenda "chini"kuliko kusoma...
  3. L

    JamiiForums Tanzania CCM wanachokifanya UDOM ni ujinga mtupu!

    Mmekosa kazi rudini nyumbani mkalime..
  4. L

    JamiiForums Tanzania CCM wanachokifanya UDOM ni ujinga mtupu!

    Wakati ni 7356 Afrika hiyo ndo udom.....acha siasa pumba na ni cha 9 Tz....Google ujionee
  5. L

    JamiiForums Tanzania CCM wanachokifanya UDOM ni ujinga mtupu!

    Itakuwa 3 kutoka Mwisho
  6. L

    JamiiForums Tanzania CCM wanachokifanya UDOM ni ujinga mtupu!

    H aahahahaha..."mnasema mim sichomoi...kwani..nmechomeka nn??…Hakuna kula bila kuliwa...sina maana hyo...:-)
  7. L

    JamiiForums Tanzania CCM wanachokifanya UDOM ni ujinga mtupu!

    Nd Ndiyo hivyo boss...mm nilikimbia huo ujinga nkiwaacha....tena laki 1 halafu hawakupewa hata bima yenyewe...ukienda zahanati au hospital ya chuo unapewa panadol,mseto,magnesium,piriton,
  8. L

    JamiiForums Tanzania CCM wanachokifanya UDOM ni ujinga mtupu!

    Muongo sana wewe....ni cha 11 mwaka huu.....angalia google utaona...andika ""20best universities in Tanzania 2015/2016"" ni cha tatu kwa ukubwa Afrika....ukubwa wa kichwa...si wingi wa akili inaweza kuwa debe tupu haliachi...ku..... hyo ndo udom
  9. L

    JamiiForums Tanzania CCM wanachokifanya UDOM ni ujinga mtupu!

    acha kutudanganya cyo cha tatu 3 cha 11 kwa ubora wa elimu Tz.....ingia..google andika...""20best universities in Tanzania 2015/2016"".....ukubwa wa kichwa cyo wingi wa akili.....
  10. L

    JamiiForums Tanzania Victor Byemerwa: Rais aliyepinduliwa Humanities UDOM kwa kushindwa kuwatumikia wanafunzi

    Hapo kuna majipu makubwa sana tena hadi yananuka uozo ukianzia busha la utawala hadi kwenye serikali ya wanafunzi ni uozo.....Tatizo ni siasa yani udom si chuo kikuu bt ni mahali pa watu kufanya ubadhilifu wa pesa za serikali na za wanafunzi. ......eti bima ya afya sh.100000 bila aibu...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Victor Byemerwa: Rais aliyepinduliwa Humanities UDOM kwa kushindwa kuwatumikia wanafunzi

    Tatizo la Udom ni siasa pumba....yani uongozi wote kuanzia utawala mkuu hadi kwa wanafunzi ni siasa zsizo maana. ni sana unasikia na kushuhudia wakufunzi wa udom wanagoma kuwa hawajalipwa fedha zao
  12. L

    JamiiForums Tanzania Victor Byemerwa: Rais aliyepinduliwa Humanities UDOM kwa kushindwa kuwatumikia wanafunzi

    Na pia kwenye vyuo bora 200 afrika hakipo kabisa bt kwenye ukubwa wa majengo utadhan Havard,,,udom ubao wa kuandikiwa hints umeoza haufai projector mbovu sana t
Back
Top Bottom