Recent content by Life Code

  1. Life Code

    Jihadharini na Wanaume mashoga wapo sana Jamiiforums

    Ahahahaha hapana mimi nabandua
  2. Life Code

    Jihadharini na Wanaume mashoga wapo sana Jamiiforums

    Kama kuna guy yoyote aje (PM) Nimpe Offer.
  3. Life Code

    Utii wa wanawake wa kisasa

    Nya nyie wanawake mtakalia kutumika na kulala mika kuwa siolewi/ mala nimelogwa, Mala Nina mikosi na heshima yako katika jamii haito kuwepo heshima ya Mwanamke ni kuolewa na kuishi katika misingi ya Ndoa.
  4. Life Code

    Mwanaume Black🥰🥰🥰

    Njoo basi Inbox nikupe Mikakati tunakamilishaje Jambo letu.
  5. Life Code

    Mwanaume Black🥰🥰🥰

    Niambie Unataka nini nitakufanyia Mamy kipenzi wewe ni Malikia.
  6. Life Code

    Mwanaume Black🥰🥰🥰

    Njoo basi nipo apa nimetulia
  7. Life Code

    Nimeamua nibadilishe type za wanaume

    NOTE : KWANZA UYO MWANAUME HAWEZI KULIONA HILI TANGAZO. Hakika utafanikiwa sasa itabidi uingie Mawindoni kama ( Chukoo, ) YALAMA na mawindo yako yawe out of Town.
  8. Life Code

    Nahitaji Bodaboda ya Mkataba/ hesabu

    Kaka nimekucheck naomba ukiingia online nimekutumia Number mkuu.
  9. Life Code

    Nahitaji Bodaboda ya Mkataba/ hesabu

    Tatizo ni kianzio ( Pesa )
  10. Life Code

    Nahitaji Bodaboda ya Mkataba/ hesabu

    Kaka naku hakikishia ukimpa Dreva mwenye Familia huyo anamajukumu hauwezi Kufanya kosa kwenye kukusumbua kwa maana unajua hapo ndio kuna ugali wake, Ila kwa maana halisi kwenye msafara wa mamba na kenge wapo.
  11. Life Code

    Nahitaji Bodaboda ya Mkataba/ hesabu

    Kaka Detail zipo kama utakuwa umeafiki kila kitu kipo Clear
  12. Life Code

    Nahitaji Bodaboda ya Mkataba/ hesabu

    Yeah sure Brother Nina makalatasi Ila hayajanisaidia kiukweli.
  13. Life Code

    Nahitaji Bodaboda ya Mkataba/ hesabu

    Dar es salaam, Mabibo
  14. Life Code

    Nahitaji Bodaboda ya Mkataba/ hesabu

    Habari za Majukumu wakubwa kwa wadogo. Nakuja kuomba kwa dhati kabisa kwa mtu menye Bajaji / Pikipiki na unaitaji Dreva makini, Mwerevu na muaminifu Mimi Nina sifa na vigezo, Nina uzoefu wa miaka miwili barabarani, nina Leseni ya udreva iliyo ndani ya muda. Nafanya kazi kwa uaminifu...
  15. Life Code

    Mwanandoa tafuta furaha yako mwenyewe

    Sema kwa aliye na tatizo kama hilo aje nimepe utatuzi
Back
Top Bottom